-->

Daily Archives: October 19, 2016

Rammy Galis:Nilikaribishwa Freemason Nikaka...

Post Image

Star wa Bongo Movie Rammy Galis amefunguka na kukiri kuwa kuna watu hususani wasanii wanaojihusisha na kundi la Freemason na kwamba yeye mwenyewe aliwahi kualikwa kwa njia ya simu yake ya mkononi ajiunge na kundi hilo lakini alikataa. Akizungumza katika kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa LIVE kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, Galis amesema yeye hajajiunga […]

Read More..

Irene Uwoya atoa Fursa ya Kuigiza Kwenye Ta...

Post Image

Msanii wa filamu, Irene Uwoya ametoa nafasi kwa vijana wawili kuigiza katika tamthilia yake mpya ya ‘Drama Queen’ Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, aliamua kuandaa tamthilia kutokana na runinga nyingi nchini kuhitaji tamthilia. Jumanne hii mwigizaji huyo ametoa deal kwa vijana wapya wawili kushiriki katika tamthilia hiyo. “Drama Queen tunatafuta wa baba […]

Read More..

Ushauri wa King Crazy GK kwa Diamond Platnu...

Post Image

Rapa mkongwe katika tasnia ya muziki wa Bongo King Crazy GK amefunguka na kutoa ushauri kwa msanii Diamond Platnumz na kumtaka kuwa na kitu kingine kwa sasa nje ya muziki kwa kuwa muziki una kawaida ya kupanda na kushuka. Amesema hiyo itamsaidia endapo ikitokea muziki umeshuka upande wake, aendelee kunufaika na kuingiza pesa kwa miradi […]

Read More..

Ali Kiba, Sallam Wametoka Mbali

Post Image

Wiki mbili zilizopita, Ali Kiba alikuwa mmoja kati ya mastaa wa muziki waliopafomu kwenye Tamasha la Rock lililofanyika Viwanja vya Golf, Mombasa. Katika tamasha hilo lililokuwa na staa kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ kutoka Nigeria liligeuka kuwa na sintofahamu baada ya Ali Kiba kupanda na kupafomu nyimbo mbili tu, ikiwemo […]

Read More..

Lulu Awataja Wasanii wa Tatu (3) Anaowakuba...

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu amewataja wasanii watatu anaowakubali kwenye muziki wa Bongo Fleva. Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “wasanii gani watatu anaowakubali kwenye Bongo Fleva?” Lulu alijibu swali hilo kwa kuandika, “Beka, Maua Sama na Alikiba.” Lulu aliongeza kwa […]

Read More..