-->

Daily Archives: March 11, 2017

VIDEO: Wastara Aibukia Kwenye Bongo Fleva

Post Image

Msanii nyota wa filamu Tanzania Wastara ameanza kufanya muziki na tayari ameanza kuandaa albam yake. eNewz ya EATV imemshuhudia msanii huyo wa bongo movie akiwa anafanya video yake ya kwanza aliyowaimbia wanawake na kusema kuwa tayari ameshakamilisha albam yake ambayo ndani ya mwezi huu atakuwa ame’shoot’ video 3 kwa mpigo, na albam itakamilika mwezi Juni mwaka huu. […]

Read More..

Nay wa Mitego Atuma Ujumbe Huu kwa Vanessa ...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amefunguka kwa kumpa pole mwanadada Vanessa Mdee ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutumia na kusambaza dawa za kulevya. Muimbaji huyo alijisalimisha kwa jeshi la polisi siku 5 zilizopita baada ya kutajwa kwenye list ya RC Makonda ya watu wanaojihusisha na biashara ya […]

Read More..

Bashe, Musukuma, Malima Mbaroni

Post Image

Dodoma. Wabunge wawili na aliyekuwa naibu waziri wa fedha, Adam Malima wanahojiwa na polisi mjini hapa kwa kosa la kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amethibisha na kuwataja waliokamatwa kuwa ni Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na Mbunge wa Geita vijijini ambaye pia […]

Read More..

VIDEO: Majani Amtabiria ‘Ufalme’ Harmorapa

Post Image

Producer mkongwe nchini P Funk Majani amemtabiria msanii Harmorappa kuja kuwa msanii mkubwa nchini tofauti na watu ambavyo wanamchukulia kama kijana asiyejua chochote kwenye muziki na anayetafuta kiki huku wakimbeza kwamba hajui kuimba. Jana wakati akiwa amemsindikiza msanii huyo kwenye kipindi cha FNL cha EATV kuzindua video yake mpya ‘Kiboko ya Mabishoo’, Majani amesema Harmorapa ni mtoto wa kipekee sana […]

Read More..