-->

Daily Archives: March 5, 2017

Askofu Gwajima:Mimi ni Mashine ya Kusaga na...

Post Image

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe. Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada  kanisani kwake  akieleza kuwa, “Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.” “Watu […]

Read More..

Jacqueline Wolper Akerwa na Harmorapa

Post Image

STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza  kukerwa na mwanamuziki chipukizi, Athuman Omary ‘Harmorapa’ aliyesema amewahi kutoka naye kimapenzi jambo ambalo siyo kweli. Akichonga na Mikito Nusunusu Wolper alisema mwanamuziki huyo ambaye ameimba kwenye wimbo wake wa Kiboko ya Mabishoo kuwa ameshatoka naye kimapenzi amemkosea heshima  na hata alivyousikia wimbo huo umemshangaza kwa […]

Read More..

Adui wa Wema Sepetu ni Yeye Mwenyewe

Post Image

WEMA Sepetu na mama yake wameamua kuhama CCM na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hii ni haki yao ya kikatiba. Ila ajabu katika uhamaji huu ni kauli na matamshi yao. Mama yake Wema pamoja na mambo mengine ameonekana kuumizwa na kitendo cha mwanaye kukamatwa na kuwekwa  rumande kwa tuhuma za kutumia mihadarati. Katika […]

Read More..

Rose Ndauka Kutoa Deal kwa Wasanii wa Filam...

Post Image

Kampuni ya Ndauka Advert ya malkia wa filamu Rose Ndauka ikishirikiana na African Swahili TV Machi 9,10 itafanya usahili katika ukumbi wa Kijiji cha Makumbusho kwajili ya kuwapata wasanii ambao watashiriki kwenye tamthilia mpya itwaayo ‘How Cheat?’. Muigizaji huyo amewataka wasanii wakubwa kwa wadogo kuchangamkia fursa hiyo ili kujipatia ajira pamoja na kukuza vipaji vyao. […]

Read More..

Wema Sepetu Akutana na Lema, Afunguka Manen...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza hadi yake kwenda kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema ambaye amepata dhamani siku ya Ijumaa na kutoka gerezani. Wema Sepetu juzi alisema atakwenda Arusha kuonana na Mbunge huyo ambaye amekaa ndani kwa zaidi ya miezi […]

Read More..