-->

Daily Archives: May 20, 2016

Nay wa Mitego ni Mtoto Mdogo Kwangu Kisanaa...

Post Image

ZUBERY Mohamed ndio jina lake alilopewa na wazazi wake lakini katika filamu anajulikana kama Niva super Mario msanii huyu ambaye ni mwigizaji na mwanamuziki wa kizazi kipya anaibua malumbano na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ney wa Mitego na kusema kuwa ni mdogo katika sanaa. “Unajua kwa wale wasiomjua Ney wa Mitego ndio wanamhofia […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kuhusu Uchawi Kwenye M...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz amesema yeye haamini kama kuna ushirikina, hususani kwa wanamuziki wa bongo fleva. Ommy Dimpoz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye stori 3 za Planet Bongo East Africa Radio, na kusema kuwa hawezi kumtuhumu mtu mshirikina kwani hajawahi kumuona mtu akifanya ushirikina. “Kwenye bongo fleva siwezi kusema kuna ushirikina, au hakuna, mi siamini mambo […]

Read More..

Gardner Agoma Kumuomba Radhi Lady JayDee

Post Image

Mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G. Habash kupitia wakili wake, amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika majibu yake amekana madai hayo. Siku chache zilizopita, Gardner alionekana katika kipande cha Video akisherehesha tukio la kumsaka mrimbwende wa chuo cha Tanzania Institute […]

Read More..

Sumaku: Sijamuona wa Kuvaa Viatu vya Kinyam...

Post Image

KIONGOZI wa Wasanii wa Vichekesho Tanzania, Habib Mkamba ‘Sumaku’ amesema kwamba kifo cha msanii mwenzao, James Peter ‘Kinyambe’ kilichotokea hivi karibuni, hakuna wa kuliziba pengo lake. Akipiga stori na Ijumaa, Sumaku alisema Kinyambe alikuwa na staili yake ya kipekee katika uchekeshaji hivyo hakuna msanii anayeweza kuvaa viatu vyake. “Mimi sijaona wa kuvaa viatu vya Kinyambe, […]

Read More..

Fid Q Afunguka Haya Kuhusu Kuchanwa na Rad...

Post Image

Baada ya lile bifu la siku nyingi kati ya rapa kutoka mwanza Fareed kubanda a.k.a Fid Q na msanii mwenzake kutoka lebel ya Kiraka Rado,hatimaye Fid Q amekiri kuwa Rado ni msanii pekee aliyemdiss kwa mistari mikali kuliko wasanii wote waliowahi kumdis. Akizungumza na Enewz Fid Q alisema kuwa Rado ni rafiki aliyemfunza kitu katika […]

Read More..

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET

Post Image

Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa, mwaka huu 2016. Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo.Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.

Read More..