-->

Daily Archives: May 30, 2016

Muigizaji Da Zitta Anusurika Kifo Katika Aj...

Post Image

AKIWA katika harakati za kukamilisha filamu yake mpya ya ‘Nuru’ muigizaji, Zitta Matembo maarufu kwa jina la Da Zitta amenusurika kifo katika ajali ya gari akiwa anaelekea nchini Kenya kwa maandalizi ya filamu hiyo. Muigizaji huyo aliyetamba katika filamu ya ‘Gundu’ aliyomshirikisha Anty Ezekiel mwanzoni mwaka huu alifiwa na baba yake mzazi, Fidelis Hokororo Matembo […]

Read More..

Prof. Elisante Awaasa Wasanii Kuacha haya

Post Image

Serikali imesema ina nia njema na wasanii na kuwataka kutojihusisha na vitu haramu, kwani sio mfano mzuri kwa jamii wakiwa kama kioo kwao. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo. “Serikali kwa kweli ina nia njema […]

Read More..

KR Mullah Afunguka Kuhusu TMK Family na Rad...

Post Image

Rappa KR Mullah amesema yeye bado ni msanii wa TMK Wanaume Family na Radar Entertainment yupo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa vijana. Akiongeza na Bongo5 Jumapili hii, KR amesema hawezi kuondoka TKM Wanaume Family kwa kuwa yeye ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi hilo lenye maskani yake Temeke jijini Dar es […]

Read More..

Mtanzania Atajwa Kwenye Orodha ya Forbes Af...

Post Image

Bwana Edwin Bruno, mjasiriamali wa Kitanzania, mshindi wa tuzo ya kijana mwenye mafanikio 2015, mwanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Smart Codes (www.smartcodes.co.tz) ametajwa katika jarida la Forbes Africa. Kila mwaka, jarida hilo hutoa orodha ya vijana 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wana nafasi ya kuwa mabilionea wa baadaye. Majina hayo yalikusanywa […]

Read More..

Man Fizo Mkali wa Filamu ya ‘Nimekosea W...

Post Image

Nimekosea Wapi  kutoka Steps Entertainment ni  moja kati ya filamu zenye ubora wa juu zaidi kati ya filamu kadhaa zilizoingia sokoni mwaka huu. Mbali ya kuwepo na mastaa kadhaa kama Gabo Zigamba kwenye filamu hiyo yupo Salum Saleh ‘ Man Fizo’ ndiyo mtengenezaji na amecheza kwenye filamu hiyo. Wadau wengi waliotazama filamu hiyo wamemtabilia kufanya […]

Read More..

Tunaouwa Hip hop ni Wasanii Wenyewe- Fid Q

Post Image

Msanii Fid Q amekiri wazi kuwa wasanii wa Hip hop nchini ndiyo chanzo cha muziki huo kushindwa kukua kwa kasi na kuweza kutoboa kimataifa kutokana na wasanii wenyewe wa Hip hop kutotaka kuwekeza katika kazi zao. Fid Q amesema hayo kupitia kipindi cha eNews na kudai kuwa anakubali kuwa wasanii hao wanaandika vizuri sana, wana […]

Read More..

Shilole, Vanessa Wamaliza Bifu Lao

Post Image

WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.

Read More..

Meneja wa Alikiba Afafanua Kuhusu ‘Al...

Post Image

Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi na msanii Ali Kiba, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’ Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi. “Aikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake […]

Read More..

Wema Awafungukia Wanaosema Anatembea Bajaj ...

Post Image

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni […]

Read More..