-->

Daily Archives: May 16, 2016

Hii Ndiyo Kazi ya Johari Mbali na Filamu

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Brandina Chagula ‘Johari’ amesema nje ya filamu anafanya biashara ya mapishi ya vyakula mbalimbali lakini ni kwa oda maalum. Muigizaji huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha filamu ya ‘RJ Company’, akiwa Vicent Kigosi, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa, nje ya filamu yeye ni mjasiriamali wa biashara […]

Read More..

Nay Wa Mitego Afungukia Vitisho Alivyovipat...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka kuwa ingawa  asilimia kubwa ya ngoma zake zinazofanya vizuri ni zile ambazo inaonekana amediss watu live kwa kuwataja majina lakini katika maisha yake anasema hatoisahau wimbo wa Salaam Zao kwa sababu ndiyo wimbo iliyowahi kumpa shida kuliko nyimbo zake zote. ‘’Ngoma ya Salam Zao nilipokea vitisho vingi […]

Read More..

Baby Madaha: Nimeamua Kutulia na Ndoa Yangu...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina. Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Corazon’ unaofanyiwa video yake nchini Dubai kwenye makazi yake mengine. “Kwa sasa ninaishi nchi mbili, nipo Tanzania na pia […]

Read More..

Harmonize Ajiweka kwa Jacqueline Wolper?!

Post Image

Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond. Inaonekana si tetesi tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa wawili hao, Harmonize na Jacqueline Wolper ambao yeye anawaita ‘love birds.’ Diamond na Wolper waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita. Muimbaji huyo […]

Read More..

Johari Afunguka Kuhusu Bwana Wake

Post Image

Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki mpenzi wake lakini ukweli ni kwamba ishu hizo hazifagilii. Akizungumza na gazeti hili, Johari alisema kuwa hakuna mwanamke ambaye anakosa mpenzi hususan kwa umri wake lakini hapendelei kumweka hadharani na wala hana tatizo. “Sipendi kwa sababu kuna kipindi watu walikuwa wanasema natoka na Ray (Vincent Kigosi) lakini hawajahi kuona namweka kwenye mitandao,” alisema Johari ambaye ni Boss Lady wa RJ […]

Read More..

Picha: Mchekeshaji Mkono Mkonole Afunga Ndo...

Post Image

Msanii wa vichekesho, Mkono Mkonole, Jumamosi hii amefunga ndoa kimya kimya mkoani Tanga na mwanadada aitwae Sabrina Ally. Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Mkono amesema amefunga ndoa kimya kimya kutokana na kifo cha msanii mwenzake, Kinyambe aliyefariki Mkoani Mbeya wiki iliyopita na kuzikwa huko huko. “Nimefunga ndoa jumamosi hii mkoani Tanga, sema ndoa ilikuwa kimya […]

Read More..