-->

Daily Archives: May 23, 2016

Alikiba Amuombea Kura Diamond Platnumz

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka na kusema kwa mafanikio aliyopata toka amerudi kwenye muziki tena ndani ya muda ni mfupi ni sawa na kuchana msamba kwake maana siyo hatua za kawaida. Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa yeye kusaini mkataba na kampuni ya ‘Sony Music’ jambo kubwa sana […]

Read More..

Kisa Chura, Snura Anusurika Kichapo

Post Image

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kupigwa na mashabiki kisa kikiwa eti ni kutokuimba Wimbo wa Chura ambao umefungiwa. Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo lilijiri mida ya usiku katika ukumbi mmoja maarufu uliopo Masasi ambapo Snura alikuwa […]

Read More..

Aunt Ezekiel Aeleza Maumivu Aliyopata Wakat...

Post Image

Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka na kueleza jinsi alivyopitia maumivu makali wakati wa kujifungua mtoto wake wa pekee ‘Cookie’ ambaye ametimiza moja mmoja hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa instagram, Aunt Ezekiel aliandika: Haikuwa siku ya furaha katika maisha yangu ilikuwa ni siku ngumu kushinda siku zote nilizowahi kupitia katika maisha yangu hata misiba […]

Read More..

Picha: Wema azindua ‘Mobile Aplication’...

Post Image

   

Read More..

Kuelekea Ramadhan, Nisha Afanya Jambo Hili

Post Image

  ZIKIWA zimesalia siku chache kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kuanza, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ jana aliukaribisha kwa kula chakula cha jioni na watoto yatima. Nisha aliwatembelea watoto yatima wa kituo cha New Hope Family Group kilichopo Kigamboni, Dar,  ambapo alipata nafasi ya kula nao chakula cha jioni alichokiandalia, hali iliyosababisha […]

Read More..