-->

Daily Archives: May 5, 2016

Shetta Atumia Ndege, Boti Kwenye Video Mpya

Post Image

VIDEO ya wimbo mpya wa ‘Namjua’ wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Bilali ‘Baba Qayla’ au ‘Shetta’, iliyorekodiwa katika miji ya Johannesburg na Cape town nchini Afrika Kusini, inatarajiwa kuachiwa kesho katika vituo mbalimbali vya runinga. Uwekezaji katika video hiyo umekuwa mkubwa kwani zimetumika ndege, boti na nyumba za kukodi zilizogharimu kiasi kikubwa […]

Read More..

Nimekosea Wapi? Kuonyeshwa Suncrest Quality...

Post Image

FILAMU kubwa ya kitanzania ya Nimekosea wapi? ya mtayarishaji na mwigizaji mahiri Swahilihood Salum Saleh ‘Fizo’ itakuwa ni filamu ya kwanza kufungua njia kuonyeshwa katika jumba la sinema la Suncrest Cineplex Cinema lilopo Quality Centre wiki ijayo. Akiongea na FC Fizo amesema kwake ni bahati kubwa sana kupata nafasi hiyo kwa filamu yake kuwa ya […]

Read More..

ZIFF Yatangaza filamu za kuonyeshwa, Nyingi...

Post Image

Tamasha la filamu la Zanzibar (ZIFF) limetangaza majina ya filamu zitakazoshindanishwa hapo ifikapo Julai 9 hadi 17. Tamasha lilipokea jumla ya filamu 490 kutoka nchi 32 mwaka 2016. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo, Meneja wa Onyesho hilo, Daniel Nyalusi alisema, jopo la wachaguzi wa filamu limependekeza filamu 80 ndio zitakazoshindanishwa […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Kurudiana na S...

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Alikiba amefunguka na kusema kuwa hata kama ikitokea mpenzi wake huyo wa zamani akitaka kurudiana na yeye ni kitu kisichowezekana kwa sasa. Akizungumza kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana Nuh Mziwanda amesema kuwa kwa sasa yeye […]

Read More..

Roma: Nimechagua Maisha ya Shida

Post Image

Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake. Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa hayo ndiyo maisha aliyoyachagua na ni mwanaharakati anaetetea haki na amani katika taifa lake, maendeleo bora na hicho ndicho kitu kikubwa anachojaribu kukipigania. “Natamani nipate […]

Read More..

Alikiba Kuachia Wimbo Huu Mpya

Post Image

Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje. Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu. Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae. Bongo5

Read More..

Snura Aomba Radhi, Awasilisha Video Safi ya...

Post Image

Snura amewaomba radhi watanzania kwa video ya wimbo wake ‘Chura’ inayowadhalilisha wanawake na iliyo kinyume na maadili. Muimbaji huyo amekutana na waandishi wa habari Alhamis hii kwenye ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam. Jana video na wimbo huo vilifungiwa na wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa madai kuwa inakiuka maadili ya […]

Read More..