-->

Daily Archives: May 19, 2016

Wema Sepetu Afunguka Haya Huhusu Alikiba

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki.     Wema Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii Alikiba na kusema huwa zinamkosha sana na kudai hajawahi kumuangusha siku zote […]

Read More..

Rose Ndauka Atoboa Siri ya Mambo Yake Kumny...

Post Image

MKALI wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa siri ya mambo yake kumnyookea kuwa imetokana na kumuhusisha Mungu kwa kila anachokifanya na wala si vinginevyo kama watu wanavyodhania. Akizungumza na Amani, Rose ambaye kwa sasa anamiliki kampuni inayojishughulisha na kutengeneza Jarida la Rozzie, alisema kuwa Mungu ndiye aliyemtendea miujiza hiyo kwani asingemshirikisha asingekuwa hapo alipo. “Siri […]

Read More..

Pasha Amuumbua Snura, Afunguka Haya

Post Image

Baada ya msanii wa Bongo fleva Snura Mushi kufunguka kuwa hajawahi na hafikirii kutoka na msanii wa Bongo Fleva Pasha amuumbua. Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Snura ila kipindi hiko Snura alikuwa hajaanza kufahamika na yeye alikuwa akitamba na nyimbo ya ni soo. “Kusema hajawahi kutoka […]

Read More..

Sitaki Tena Kuitwa Binti Machozi – La...

Post Image

Queen wa bongo fleva Lady Jay Dee Baada ya kuamka tena na Ndi Ndi Ndi, ameendela kulikataa wazi jina lake alilokuwa akilitumia hapo awali la binti machozi. Akizungumza na Enewz Jay Dee alisema kuwa kwasasa hataki tena kusikia watu wakilitumia jina hilo kwake wala kwa bendi yake kwani bendi hiyo sasa inajina jipya la ”The […]

Read More..

Zari, Mama Diamond Watifuana Mbele ya Wazun...

Post Image

Inadaiwa ilitokea lakini haikuandikwa! Kuna habari kuwa, ile safari ya familia ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kula bata kwenye nchi za Ulaya, ilikuwa na mambo mengi lakini kubwa ni madai ya kuwepo kwa mtifuano kati ya mama Diamond, Sanura Kasim na Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni mzazi mwenzake, Diamond. Kwa mujibu […]

Read More..

Ali Kiba Asaini Mkataba na Sony Music, Sout...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Ali kiba amesaini mkataba leo na kampuni ya Sony Music jijini Johannesburg,South Africa, moja ya vitu vilivyomo kwenye mkataba huu ni kampuni hii kubwa ya muziki duniani kusimamia pia video zake na audio kwa kuzilipia na kuzifikisha kwenye masoko makubwa ya muziki duniani. Ali Kiba ameungana na mastaa wengine duniani waliosign […]

Read More..

Feza na Lulu Wajitosa Kwenye Bifu la Vaness...

Post Image

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Feza Kessy wamejitosa kwenye bifu la Shilole na Vanessa Mdee ambalo linaendelea katika mitandao ya kijamii. Chanzo cha bifu ya Shilole na Vanessa hakijatambulika, lakini wawili hao toka jana wamekuwa wakirushiana maneno makali na vitisho katika mitandao ya kijamii hali ambayo imewafanya baadhi ya wasanii kuingilia kati sakata […]

Read More..