-->

Daily Archives: May 7, 2016

Kingwendu Kujikita Zaidi Kwenye Muziki, Sas...

Post Image

Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake. Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake. Akizungumza […]

Read More..

Maisha Yaanza Kumnyokea Idris Sultan

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500 milioni. Akizungumza na Bongo5, Idris alisema tayari ameanza kuona faida ya pesa ambazo aliwekeza kwenye biashara zake. “Kwa sasa hivi matunda nimeanza yaona, kuna kipindi fulani […]

Read More..

Baada Kuzawadiwa Gari Harmonize Amefunguka ...

Post Image

Msanii ambaye yupo chini ya Label ya WCB, Harmonize jana amezawadia gari aina ya Mark X na uongozi wake wa WCB kama motisha kwa kazi zake lakini pia kama njia ya kumrahisishia usafiri na kulinda jina lake na hadhi yake. Baada ya kupewa zawadi hiyo ya gari msanii huyo alikuwa na maneno ya shukrani kwa […]

Read More..

Ray Awaasa Vijana Juu ya Hili

Post Image

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa yeye furaha yake ni kuona vijana wenzake wakifanikiwa na kupiga hatua kimaendeleo. Ray Kigosi amewaasa vijana wenzake kuwa wasikae wakategemea kuwa viongozi wa siasa wanaweza kuja kuwabadilishia maisha yao bali amewataka kuwa na jitihada binafsi kwani huo ndiyo msingi mkubwa wa mustakabali wa maisha yao. […]

Read More..

Riyama Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Ku...

Post Image

MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu, huku wao wakijinufaisha na jasho lao akiongaea na FC Riyama amedai kuwa ametapeliwa kazi yake ya Kajala. hajui jinsi gani umepata fedha hadi kuunga unga na kutoa filamu bila ya huruma […]

Read More..

Pichaz: Wema Sepetu Aja na Mradi Mpya ‘We...

Post Image

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali. Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini. Bongo5

Read More..