-->

Daily Archives: May 22, 2016

Lulu, Gigy Money Wacharuana

Post Image

MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu. Chanzo makini kilieleza kuwa ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema mwanadada Lulu hajui kuvaa anavaa matangazo, hii ni baada ya kuulizwa na kituo kimoja cha runinga kwamba ataje mastaa kumi wanaojua kuvaa ambapo […]

Read More..

Busu la Penny Lazua Utata

Post Image

Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa. Hayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa vitendo visivyofaa. Alipoulizwa kuhusiana na jambo hilo, Penny alisema: “Hayo […]

Read More..

Harmonize Afungukia Penzi la Wolper

Post Image

Baada ya tetesi kuvuma kuwa ukaribu wa kimapenzi kati ya muigizaji Jackine Wolper na staa wa Bongo Fleva Harmonize ni wa kuigiza na kutafuta kiki, Harmonize ameamua kufunguka juu ya mahusiano hayo. Akizungumza na eNewz Harmonize alisema kuwa muda ukifika atampelekwa mchumba wake huyo kwao kwa ajili ya kumtambulisha kwa wazazi wake huku wakiwa na […]

Read More..

Lulu Kusaka Tuzo Oscar na Filamu ya ‘Ni N...

Post Image

ILE Filamu kubwa ya Ni Noma ‘Huyu Demu ni Feki’ kutoka kwa mwanadada Nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood Elizabeth Michael ‘Lulu’ ipo tayari kuingia sokoni baada ya kutengenezwa katika viwango vya kimataifa, kazi hiyo inakwenda kusaka tuzo kubwa kabisa ya Oscar. Filamu ya Ni Noma chini ya utayarishaji wa mtayarishaji mahiri kabisa katika utayarishaji […]

Read More..

BASATA wafunguka, Baada ya Alikiba Kusaini ...

Post Image

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limempongeza msanii Alikiba baada ya jana kusaini mkataba chini ya kampuni ya ‘Sony Music’ duniani na kusema kuwa hilo ni jambo la msingi na litasaidia saa yetu na kusisitiza kuwa sanaa ya staha inalipa zaidi. BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa […]

Read More..