-->

Daily Archives: May 18, 2016

Matonya Atua kwa Gigy

Post Image

Baada ya fununu kuzagaa kuwa kwa sasa Giggy Money ameiparamia ndoa ya Matonya na imekua ni mwendo wa kunyweshana supu tu, wawili hao wamefunguka juu ya ishu hiyo. Akizungumza na eNewz Matonya hakutaka kufunguka wazi kuwa ameshaonja supu ya Gigy,na huku Gigy akisema wazi kuwa mpaka sasa msanii huyo kashakunywa kabisa supu yake ingawa inafahamika […]

Read More..

Bifu la Shilole na Vanessa, Shilole Atangaz...

Post Image

Msanii Shilole ametangaza vita na msanii mwenzake Vanessa mdee, na kusema kuwa asiombe kukutana naye popote. Akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa smu kujibu tuhuma hizo, Shilole amesema amechukizwa na kitendo cha Vanessa kuandika mambo mabaya juu yake na kupost istagram, hivyo ajiandae kwa lolote. “Ukiona hivyo ujue kimenuka, kaniongelea shit mi sijapenda, […]

Read More..

Shilole: Wanaume Suruali Sasa Basi

Post Image

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii. Akilonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu. […]

Read More..

Lulu Awashukia Wanaoshindania Uzuri na Maka...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael alimaarufu kama Lulu amefunguka na kusema kama wasanii wa filamu nchini wana wakati mgumu kutokana na changamoto mbalimbali zinazoikabili tasnia hiyo ya filamu nchini.   Kupitia Account yake ya Twitter Lulu Michael ameonyesha kukatishwa tamaa na mambo mbalimbali kwenye tasnia hiyo huku akionyesha wazi uelewa mdogo na kukosa maarifa […]

Read More..

Wema, Petit Ndani ya Bifu

Post Image

Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika kamera wake, Petit Man umeingia dosari baada ya kudaiwa kuwa wawili hao wako ndani ya bifu, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa Wema na Petit ambao hapo awali walikuwa wakiambatana kama kumbikumbi, kila kona walipoonekana, hivi sasa ni kama paka […]

Read More..