-->

Daily Archives: May 1, 2016

Nay Ampiga Changa Director Wake

Post Image

Muongozaji wa video kutoka Bongo, Nicklass, ambaye amefanya video ya ‘Shika adabu yako’ ya Nay wa Mitego alipigwa changa la macho na Nay juu ya video hiyo. Akizungumza na Enewz Nicklass alisema kuwa Nay alimdanganya kuwa afanye video na wote aliowadis amekwisha ongea nao na haitakuwa na shida lakini kumbe haikuwa hivyo. “Nay alivyokuja kunitaka […]

Read More..

Uwoya Hapendi Kutaja Gharama ya Vitu Vyake

Post Image

MSANII wa filamu za nchini, Irene Uwoya, amefunguka na kusema hapendi kuweka wazi mambo yake binafsi kama ilivyo wasanii wengine. Msanii huyo alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wanapenda kuweka kila kitu chake ambapo haina maana yoyote kwa jamii. Akizungumza na MTANZANIA, msanii huyo alisema anapendelea kufanya mambo yake kwa siri na sio kuweka wazi kwenye […]

Read More..

Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta

Post Image

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na […]

Read More..

Lamata Ataka Waongozaji wa Filamu Wapewe Um...

Post Image

LEAH Mwendamseke ‘Lamata’ anasema kuwa tasnia ya filamu ina changamoto kubwa sana hasa pale ambapo unakuta watayarishaji wanawatambua na kuwapa nafasi wasanii kuliko hata waongozaji, waandishi wa muswada au watendaji wengine katika tasnia ya filamu. Inashangaza sana sisi ambao ndio watendaji wakuu hatuthaminiwi kama wasanii wanaonekana katika kamera lakini hakuna msanii mnzuri bila Director au […]

Read More..

Riyama Ally Amefungukia Maumivu Aliyoyapata...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally aelezea maumivu aliyoyapata kipindi alichopoteza mtoto. Akizungumza na gazeti la mwanaspoti, Riyama anafichua kuwa mwaka 2000 aliwahi kupata mtoto akafariki, baada ya hapo alikuwa anatamani kubakia mpweke siku zote kwa sababu ya simanzi aliyopata. “Maumivu niliyosikia kwa kumpoteza mtoto wangu yule, ilinifanya nitamani kuwa mpweke tu, lakini kwa vile […]

Read More..

Watayarishaji wa Muziki Bongo Wana Hali Mba...

Post Image

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J amesema watayarishaji wa muziki wa Bongo wana hali mbaya sana kwa sasa. Master J amejiwekea heshima kubwa kwenye;muziki wa Bongo Fleva, pia amefanikiwa kuwatambulisha wakongwe kibao wa muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop ambao wamejiwekea heshima kubwa kwa sasa nchini. Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka […]

Read More..