-->

Daily Archives: May 4, 2016

Snura Akanusha Kufungiwa Yeye na Wimbo Wake

Post Image

Baada ya taarifa kuenea kuwa Snura amefungiwa kujihusisha na kazi ya sanii nchini pamoja na wimbo wake na video msanii huyo amepaza sauti yake na kusema kuwa yeye hajafungiwa kufanya sanaa wala wimbo wake haujafungiwa na serikali. Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Snura amesema kuwa katika barua ambayo alipewa imeeleza wazi kuwa […]

Read More..

Nashindwa Kununua Vitumbua-Dudubaya

Post Image

Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu. Dudubaya kupitia kipindi cha Planetbongo amekiri kuwa kuna wakati anajutia maamuzi yake ya kutaka kuwa maarufu na kuwa maarufu kwani yanamfanya aishi maisha ambayo si yake kwani akifanya […]

Read More..

Ving’amuzi Vinaua Bongo Movie – Chekibudi

Post Image

Star wa Bongo movi Chekibudi anaumizwa moyo na ving’amuzi kutokana na kwamba ni moja kati ya vitu vinavyoua kwa kasi soko lao la filamu. Akizunguma na Enewz Chekibudi alisema kuwa ving’amuzi vingi vimetoka kwa sasa na vinaonesha filamu mbalimbali kitu kilichopelekea mauzo ya kazi zao kushuka. “Sisi tulipotea pale tulipouza kazi zetu badala ya kuuza […]

Read More..

Hii Ndiyo Idadi ya Filamu Zilizokamatwa na ...

Post Image

Katika hatua za kupamba na kazi za filamu ambazo zinaingizwa nchini kinyume na sheria na kuikosesha serikali mapato, Bodi ya Filamu tayari imekamata zaidi ya kazi za filamu 656,000 ambazo zimeingizwa nchini kinyume na sheria. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fisoo alisema wao kama bodi ya filamu […]

Read More..

Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa

Post Image

Serikali imezuia wimbo na video ya ‘Chura’ ya msanii kupigwa kwenye chombo chochote cha habari maeneo ya wazi na kwenye kumbi mbali mbali na Snura amefungiwa kufanya maonyesho yoyote ya wazi. Tamko hilo limekuja mara baada ya TCRA, BASATA na Wizara ya habari, Bodi ya filamu kukaa na Bi Snura kwa kubaini kuwa wimbo una […]

Read More..

“Mimi Ndio Mwanamke Mzuri Bongofleva&...

Post Image

Shilole ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na EATV. “Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole. Pamoja na hayo Shilole amezungumzia suala la kuwa na ukaribu na msanii Nedy Music, […]

Read More..