-->

Daily Archives: May 24, 2016

Meneja wa Wema Afungukia Ugomvi wa Mirror n...

Post Image

Mwanamitindo na Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka juu ya ugomvi wa Mirror na Petiti Man.  Akizungumza na Enewz Kadinda alisema kuwa ugomvi wa Mirror na Meneja wake anayesimamia kazi zake za muziki yaani Petit man ni utoto tu unawasumbua. “Petiti bado yupo Endles Fame kwakuwa bado hajaiandikia barua kampuni kuwa anatoka na yote […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kuumizwa na Hiki Kuhus...

Post Image

Ikiwa zimesalia siku chache tu kuadhimishwa kwa miaka mitatu ya kifo cha msanii wa Hip Hop na mkali wa Free style Albert Mangwea, Ommy Dimpoz amefunguka mengi kuhusu msanii huyo. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ommy Dimpoz ambaye ni moja kati ya miongoni mwa watu walioathiriwa na msiba wa Ngwair, amemzungumzia msanii […]

Read More..

Picha: Wolper na Harmonize Mahaba Niue

Post Image

Couple inayokuja kwa kasi Bongo kati ya staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper na mwanamuziki anayekimbiza katika Bongo Fleva, Harmonize imezidi ku-make headlines katika mitandao ya kijamii. Wawili hao walianza kwa siri lakini kwa sasa wameamua kuweka mambo hadharani bila kupepesa macho na kuudhihirishia umma kuwa kwa sasa ni wapenzi na hakuna kificho tena. Katika […]

Read More..

JB Adai Alizitolea Nje Ofa Tatu za Movie za...

Post Image

JB si msanii anayezuzuka na filamu za Kinaijeria ndio maana amesema ameshazitolea nje ofa tatu za kuigiza filamu za Kinaijeria. “Natoboa siri ambayo watu hawaijui, nimekataa script zaidi ya tatu Nigeria kwenda kuact kwasababu hazinilipi,” muigizaji huyo aliiambia 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Naapa mbele ya Mungu ukitaka nitakuonesha, zipo. Sababu ni […]

Read More..

Mv Bukoba Imeua Furaha Yangu – Kala J...

Post Image

Msanii Kala Jeremiah amesema inapofika siku yake ya kuzaliwa huwa ni siku ya huzuni kwake, tofauti na wengine wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Kala Jeremiah amesema siku hiyo ndio siku ambayo ilitokea ajali ya Mv Bukoba na kuuwa watu zaidi ya 800, hivyo huitumia siku hiyo kufanya […]

Read More..