-->

Daily Archives: May 26, 2016

Ali Kiba Kuwatambulisha Wasanii Ambao Wako ...

Post Image

Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya ‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii. ’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki […]

Read More..

Bob Junior Afunguka Kuwatoa Kina Diamond Ki...

Post Image

Msanii Bob Junior amefunguka juu ya kitendo chake cha kuwatoa kimuziki wasanii Diamond Platnumz na Nyauloso, ambao kwa sasa wanafanya vizuri kwenye muziki. Akiongea kwenye PlanetBongo ya East Africa Radio, Bob Junior amesema aliamua kuwasaidia kwa kuwa aliona ni wasanii wenye vipaji, na yeye alikuwa na vifaa na studio, na ujuzi wa kutengeneza beats. “Kina […]

Read More..

Aunt: Sasa Natafuta Mapacha

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa baada ya mtoto wake, Cookie kutimiza mwaka, sasa anafanya mpango kutafuta njia ya kupata watoto mapacha ili atulie. Akizungumza na Amani Aunt ambaye amezaa na dansa wa staa wa Bongo Fleva, Diamond, Moze Iyobo alisema kuwa, anamshukuru Mungu kumpa mtoto ambaye amemfungulia njia lakini kwa sasa anatamani […]

Read More..

Matamasha ya Ngwair, Mama Yake Akumbukwe- T...

Post Image

Msanii TID ametoa baraka kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kitu chochote ikiwemo matamasha ya kukumbuka kifo cha msanii Albert Mangwea na kuenzi kazi zake kufanya hivyo, ila ni lazima wahakikishe wanapata kibali kutoka kwa mama mzazi wa Mangwea. Akiongea na ENews ya EATV TID amesema hawezi kumzuia mtu kufanya hivyo kwani ni kitu kizuri, isipokuwa […]

Read More..

Ipo Siku Nitaitwa Mama- Wema Sepetu

Post Image

Kupitia Account yake ya Instagram staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yake mzazi na kuweka maneno yalisomeka kuwa iko siku na mimi nitaitwa Mama. Jambo ambalo liliibua hisia za mashabiki zake na wengine kuanza kumfariji kuwa Mungu yupo na anasikia kilio chake na wengine wakiendelea kumtia moyo kuwa asijali kweli […]

Read More..

Sakata la Chidi Benz Kutoraka ‘Sober Hous...

Post Image

Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo ‘Chidi Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya ‘sober house’ kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani, inadaiwa Chidi Benz alishatoroka kitambo na sasa yuko kitaa. Akizungumza na Global Publishers meneja wa kituo hicho, Tumaini Majura, amethibitisha kuondoka kwa […]

Read More..