-->

Daily Archives: May 9, 2016

Waziri Amtaka Gardner Aombe Radhi Kwa Kumdh...

Post Image

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla, amemtaka mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash kumuomba radhi aliyekuwa mke wake, Lady Jaydee kwa ‘kile alichokiita’ kama udhalilishaji kwake na kwa wanawake wote. Wikiendi iliyoisha imesambaa video mtandaoni ikimuonesha mtangazaji huyo akiongea kwenye tamasha alilokuwa mshereheshaji: My name is Captain […]

Read More..

Ray Anafanya Movie Rwanda, Muigizaji Pekee ...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii pekee kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa kushiriki katika filamu inayounganisha nchi mbili ya Rwanda na Tanzania.   Ray Kigosi kupitia mtandao wake wa kijamii aliandika kuwa kwa nafasi aliyopata hawezi kuwaangusha watanzania kwani yeye amekwenda kuwaonyesha kazi. “Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie […]

Read More..

Picha za Waziri wa Sudan Zawa Gumzo Mtandao...

Post Image

Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Sudan Kusini Mh. Mabior Garang De Mabior ambaye ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na kiongozi wa zamani wa kikundi cha waasi cha SPLA/M cha Sudan Dr. John Garang amekuwa gumzo mitandaoni baada ya picha zake zenye utata kusambaa katika mitandao ya kijamii. Mabior Garang ambaye […]

Read More..

Kwa Mara ya Kwanza Bongo Movie Kuonyeshwa K...

Post Image

Filamu ya Nimekosea wapi? Itakuwa ni filamu ya kwanza kufungua njia kuonyeshwa katika jumba la sinema la Suncrest Cineplex Cinema lilopo Quality Centre  jumatano hii. Ni muendelezo wa Bongo Movie Premiere, ambapo mastaa na mashabiki wa filamu wanapata fursa ya kuitazma filamu kabla ya kuingia sokoni. Akiongea na FC muandaaji wa filamu hiyo ya Nimekosea […]

Read More..

Mtitu Akumbuka Enzi na ‘Mama Mkubwa’ Nd...

Post Image

MUONGOZAJI wa filamu na mkurugenzi wa 5 Effect William Mtitu ‘Mtitu’  ameamua kurudi kwenye tamthilia na kuipa nguvu zaidi tofauti na filamu, Mtitu anasema misingi imara inapatikana kwa wasanii waliopitia katika tamthilia na kuingia katika filamu. “Nilikuwa nikifanya utafiti nakugundua kuwa tamthilia imetoa vipaji vingi sana, nami nimeona bora nijikite huko na tumefanikiwa kuja na […]

Read More..

Shamsa: Siwezi Kumhukumu Nay

Post Image

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea Ngoma ya Shika Adabu Yako iliyoimbwa na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuwa kamwe hawezi kumhukumu Nay kwa maneno aliyoimba. Akigonga mbili-tatu na Showbiz, Shamsa aliyewahi kubamba na Filamu ya Chausiku alisema kuwa aliusikia wimbo huo uliowachana mastaa wengi wa Bongo Muvi […]

Read More..

“Sijatoka Endless Fame” – Mirror

Post Image

Msanii Mirror ambaye yuko chini ya Endless Fame amekanusha taarifa za kutoka kwenye kampuni hiyo ambayo inamsimamia kwenye kazi zake, baada ya tetesi kuwa hayupo tena. Mirror ameyasema hayo leo alipokuwa kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na EATV, na kusema kuwa bado yupo kwenye kampuni hiyo, ingawa hasimamiwi na Petit Man, ambaye alikuwa anamsimamia awali […]

Read More..