-->

Daily Archives: May 12, 2016

Picha: Diamond na Mafikizolo Wakiwa Bungeni...

Post Image

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani  Chuo kikuu cha Dodoma. “Unajua leo tuna show hapa Dodoma mimi na Mafikizolo hivyo serikali kupitia kwa Waziri Nape Nnauye walitualika bungeni japo […]

Read More..

Hemedy PHD Anatarajia Kuwa Baba Tena

Post Image

Star wa Bongo Movie, Hemedy Seleman anatarajia kupata mtoto hivi karibu na anajivunia kuwa baba wa mtoto huyo ajae ukiachilia yule ambaye alinukuliwa kuachwa na mama wa mtoto huyo. Akizungumza na Enewz Hemedy alisema kuwa mtoto ni baraka kutoka kwa mungu kwa hiyo yeye yupo tayari kwaajili ya kumlea mtoto huyo ambaye hakutaka kutaja jina […]

Read More..

Kusaka Mpenzi Kwenye Simu, Sitosahau –...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote. Akizungumza na Enewz Linna alisema kwamba moja ya kitu hicho ni tukio ambalo walilifanya yeye na mwenzie kipindi wanasoma kwani walikuwa wana tabia ya kujaribu kupiga namba tofauti tofauti ili kutafuta mpenzi. “Nilifanikiwa kumpata mwanaume […]

Read More..

AY na Mwana FA Kulipwa Bilioni 2 na Tigo, B...

Post Image

Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya Mawasiliano ya TIGO kuwalipa wasanii Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ na Ambwene Yessaya ‘AY’ jumla ya shilingi bilioni 2.18 baada ya kutumia kazi zao za muziki bila ridhaa yao. May 10, 2016, Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando alipost picha Instagram akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na rappers […]

Read More..

Shilole: Kuengea Kingereza ni Kipaji

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Shilole a.k.a Shishi Baby amekiri kwamba kuzungumza lugha ya kingereza ni kipaji na wala si hivi hivi tu na amesema yeye anajua kuongea vizuri kingereza ila anapenda kuongea kingereza kibovu ili kuchekesha watu tu. Na hii ni baada yakuonekana katika mitandaoni mbalimbali ya kijamii akijaribu kwa juhudi zote bila mafanikio kuzungumza […]

Read More..

Baada ya Kuokoka, Kajala Akejeliwa

Post Image

BAADA ya kukiri katika gazeti hili kuwa ameamua kuokoka na kumrudia Mungu, mrembo kunako filamu za Kibongo, Kajala Masanja amekejeliwa na baadhi ya watu wake wa karibu. Akizungumza na Amani Kajala alisema kitendo cha kuokoka kimegeuka kama kejeli kwa marafiki zake ambapo wengi humcheka lakini anaamini kabisa siyo akili zao bali shetani anataka kuwatumia ili […]

Read More..

Tanzia: Muigizaji Kinyambe Afariki Dunia

Post Image

Komediani aliyetamba kwa kubadilisha sura na sauti yake katika filamu za uchekeshaji nchini, James Peter Nsemwa a.k.a Kinyembe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mpaka mauti yanamfika, Kinyambe alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya. Akiongea na EATV Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba, amesema ameongea na baba mzazi wa […]

Read More..