-->

Daily Archives: May 25, 2016

Young Dee Afunguka Kuhusu Madawa ya Kulevya...

Post Image

Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mtaani kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo amesema tokea akiwa mdogo amekutana na mambo mengi ya kuzushiwa. “Hata mimi nasikia sana,” alijibu alipoulizwa kuhusu tetesi za kutumia unga. “Unajua mimi nimekuwa kwenye muziki tokea […]

Read More..

Nay wa Mitego Awafungukia Wolper, Nisha na ...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva  ambae haishi kuwachana mastaa wenzake. Nay wa Mitego, amewatupia vijembe wasanii wa kike wa bongo movie wanaopenda wasanii wa Bongo Fleva wanaochipukia na kuhit redioni. Kupitia video aliyoipost kwenye account yake ya instagram amewataja warembo hao kuwa Jacqueline Wolper, Nisha pamoja na Shilole. Amesema wasanii hao ni kiboko kwa kukwapua wasanii […]

Read More..

Gabo Zigamba Adai Kunfunika Ray

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye anafahamika kwa kuigiza kwa lafudhi ya Kimakonde Gambo Zigamba amefunguka na kusema kuwa yeye ni zaidi ya msanii Ray Kigosi kwenye kazi kwani yeye anafanya zaidi ya Ray. Akizungumza kwenye kipindi cha eNewz Gambo Zigamba aliweka wazi kuwa kipindi ambacho wakina Ray na wasanii wengine wakongwe wanafanya kazi zao hizo […]

Read More..

Wolper Afungukia Penzi Lake na Harmonize, A...

Post Image

Mwigizaji Jackline Wolper jana amefanya mahojiano na Zamaradi Mketema kwenye kipindi cha TakeOne na kuzungumzia mambo mengi kuhusu yeye na aliyekuwa mpenzi wake Putin ‘Mkongo’ aliyemvisha pete, na uhusiano wake na msanii Harmonize. ‘Ni kweli Raj (Harmonize) ni mpenzi wangu,ukweli nilimjua siku nyingi nilikuwa nikimchukulia kama mwanamuziki tu, tuna mwezi mmoja na wiki mbili sasa’’ […]

Read More..

Nay Amnasa Mchumba Mhabeshi

Post Image

Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, imedaiwa kuwa hivi sasa, yupo na mrembo raia wa Ethiopia (Mhabeshi) anayejulikana kwa jina la Addi na ameapa kufunga naye ndoa. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa, Nay na mwanadada huyo ambaye […]

Read More..

Mboto na Riyama Wamshushua Tunda Man

Post Image

Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Mboto, pamoja na muigizaji wa filamu Bongo movies, Riyama Ally, wamekanusha kufanya filamu ya ‘Mama Kijacho’ kama alivyodai mwanamuziki Tunda Man ambaye ndiyo alijinadi kuwa muhusika mkuu. Mboto amekanusha hayo mbele za kamera ya eNewz na kusema kuwa “mimi sijawahi kushuti movie ya mama kijacho,” alisema Mboto alizidi kuongeza kuwa “Msema […]

Read More..