-->

Daily Archives: May 3, 2016

Mwanaher: Nipo Vizuri Kila Idara Mwanaher, ...

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa kike Mwanaher Afcely anayefanishwa na mwigizaji wa kike Swahilihood Riyama ametamba kwa kusema kuwa hajivunii kufanana na Riyama bali ni uwezo wake katika uigizaji kwani anafanya vizuri na hata wengine wanashindwa kumtofautisha na Riyama kwa kuigiza kwa ufasaha. “Nipo kikazi zaidi na unajua kama unafananishwa na msanii mwenye uwezo mkubwa ni […]

Read More..

Master Jay Atoboa Sababu za Yeye Kuoa Mapem...

Post Image

Mtayarishaji wa muziki mkongwe na mmiliki wa Studio ya Mj Records, Master Jay amefunguka na kusema kuwa yeye aliwahi kuoa mapema kutokana na ‘presha’ (shinikizo) la wazazi wake na jamii kiujumla. Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV, Master Jay amesema aliweza kumuoa mke wake wa kwanza akiwa mdogo kutokana na wazazi wake na […]

Read More..

AT Awapa ‘Makavu Live’ Mapromot...

Post Image

Game ya Bongo imekuwa ikishikiliwa na wasanii wa kutoka Tanzania bara na kwa sasa wasanii wengi wa kutoka Zanzibar wamekuwa wakifeli. Akizungumzia sababu kubwa ya kufeli kwa wasanii hao Star wa mduara AT alisema kuwa mapromota ndo wanaoua vipaji vya wasanii hao. “Wao wanapromote sana wahuni kuliko wastaarabu wanaojua kufanya kazi na ndomana muda mwingine […]

Read More..

WCB Wadaiwa Kupora Wimbo wa ‘Bado’

Post Image

Producer Frag kutoka Uptown Music ametumbua jipu baada ya kuibuka na kusema kuwa yeye ndiye aliyetengeneza wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond. Frag aliiambia Enewz kuwa pamoja na kazi kubwa aliyoifanya kuhakikisha ngoma hiyo inakuwa poa lakini bado WCB wakamzima na hawakumlipa hata senti tano na kuambulia elfu thelathini pekee ya nauli. “Kawaida nikifanya […]

Read More..

Nape Kutumbua Majibu 4 Ambayo Yataibadili B...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisitiza kwamba Serikali itatunga sera ya sekta hiyo katika mwaka wa fedha 2016/17. Nape aliyataja mambo hayo na kuyafananisha na majipu kuwa ni uporaji wa kazi […]

Read More..

Maneno Haya ya Christian Bella Yawashangaza...

Post Image

Kama wewe ulikuwa ukiamini msanii Christian Bella kwenye ‘playlist’ zake lazima awasikilize wasanii wa Kongo inabidi uifute,’isue’ ni kwamba Bella sio mpenzi kabisa wa ngoma za dansi. Christian Bella amefunguka haya kupitia choudsfm. ‘’Kwasababu mimi napenda sana kusikiliza za wazungu ningependa kurudia wimbo wa ‘With U’ wa Chriss Brown mimi nina ngoma zangu kama hizo, […]

Read More..

Tamthilia ya’ The Favoured one’ Kuoneka...

Post Image

Ni tamthiliya inayohusu simulizi na visa vya kweli katika maisha ya watu. Itaonekana katika chaneli ya StarTimes Swahili, mahususi kwa vipindi vinavyotumia lugha ya Kiswahili inayoonekana pia nchini Kenya. StarTimes yahamasisha watanzania kuchangamkia fursa kwa kutengeneza filamu na tamthiliya ili ziweze kuonekana kupitia chaneli hiyo ili kupanua wigo wa mashabiki wao. Katika kuboresha maudhui yanayotumia […]

Read More..

Shaa Aeleza Anavyomchukulia Master J

Post Image

Master J na Shaa wamekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mingi sasa na wameendelea kuwa imara. akini pamoja na kuwa hivyo, bado uhusiano wao wa kikazi una nafasi kubwa zaidi. Hali hiyo ndiyo imemfanya Shaa kujitahidi kutofautisha uhusiano wao na kazi kwakuwa kwake Master J ni bosi wake. “Bosi wangu meaning ni CEO wa MJ Records, […]

Read More..