-->

Daily Archives: May 27, 2016

Wema Atumia Zaidi ya Milioni Moja Kutengene...

Post Image

Staa wa bongo Fleva, Wema Isaack Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula cha mbwa wake huwa anatumia Sh 50,000 kwa siku. Hata hivyo, Wema aliliambia MTANZANIA kwamba si kila wakati hutumia […]

Read More..

Iyobo Ametusitiri kwa Aunt-Steve Nyerere

Post Image

Staa wa filamu na vichekesho Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, amewavunja mbavu watu baada ya kusema kuwa anamshukuru sana Moses Iyobo kwa kukubali kuzaa na Aunt Ezekiel, kwani kwa kufanya hivyo amewasitiri wasanii wote wa Bongo Muvi. Akizungumza wakati alipoalikwa kwenye bethidei ya mtoto wa mastaa hao iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini […]

Read More..

Mau Anatembelea Nyota za Wasanii

Post Image

Msanii wa komedi kutoka Bongo Maulid Ali a.k.a Maufundi anatumia mitandao ya kijamii kujiingizia pesa kwa kufanya video kava Akizungumza na Enewz Mau alisema kuwa kwa sasa amepata staili mpya ya kumuingizia pesa ambayo mara ya kwanza alikuwa anafanya kama burudani lakini amegundua kuwa kupitia hivyo pia anaweza kuvuta mkwanja. Mpaka sasa Mau ameshafanya video […]

Read More..

Diamond Achukua Taji la Lip Sync Africa ya ...

Post Image

Diamond Platnumz amechukua taji la kipindi cha Lip Sync Africa kinachorushwa na kituo cha MTV SA. Alikuwa akichuana na mshkaji wake, Theo wa kundi la Mafikizolo. Kwenye kipindi hicho, wasanii wawili hushindana kuziimba nyimbo za wasanii wengine kwa kugandamizia na kupatikana mshindi mmoja. Baada ya kuchukua ushindi huo na kupewa mkanda wake, Diamond aliandika kwenye […]

Read More..

Chid Benz Akanusha Kutoroka ‘Rehab...

Post Image

Msanii Chid Benz amekanusha taarifa zilizopo kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao kuwa ametoroka rehab Bagamoyo, alikokuwa akipata tiba ya kuacha madawa ya kulevya. Akiongea na East Africa Radio Chid Benz amesema si kweli kwamba ametoroka, isipokuwa ameruhusiwa kutoka rehab. “Wameongea uongo hao wajinga, nimeachana nao kwa sababu hatuwezi kubishana nao, mi nimetoka […]

Read More..

Davina Alia Filamu za Mapenzi Kuua Soko

Post Image

Muigiza wa long time Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kueleza kwamba filamu za mapenzi wanazocheza wasanii wengi zimeua soko ndiyo maana kwa sasa ni kama sanaa hiyo haipo. Akichonga na paparazi wetu hivi karibuni, Davina alisema kutokana na soko la filamu kuwa gumu wasanii wengi wameamua kugeukia biashara kwani wakikaa na kusubiria sanaa hiyo […]

Read More..

Koko Byanko Afunguka Kumkamata Wema Sepetu

Post Image

MWIGIZAJI wa Filamu Swahilihood anakuja juu katika uigizaji Koko Byanko ametamba kufanikiwa kuigiza na msanii nyota katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu ‘Madame Wema’ Koko amemshirikisha Wema katika sinema yake aliyoitengeneza hivi karibuni. “Nilipo posti picha nikiwa na Wema wengi walinituhumu kama natoka naye lakini ukweli sitoki naye bali zilikuwa ni picha tu za […]

Read More..