-->

Daily Archives: May 8, 2016

Irene Uwoya Atoa Wito Huu Kwa Wasanii Wenza...

Post Image

MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha. Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato. Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa […]

Read More..

Picha: Party ya Kiss By Wema Sepetu Usiku w...

Post Image

Mrembo na staa wa Filamu nchini Tanzania Wema Sepetu alikutana na watu wake Usiku wa jana May 7 2016 kwenye Kiss By Wema Sepetu Party. Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima. Picha na Millard Ayo

Read More..

“Narudisha Status Yangu Sasa” &...

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda amesema hajutii maisha yake aliyoyapitia akiwa na mpenzi wake wa zamani, kwani amesha move on (kusonga mbele). Nuhu Mziwanda ambaye hivi karibuni ameachia kazi yake ya ‘Jike Shupa’ aliyomshirikisha Ali Kiba, ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha 5SELEKT cha EATV, na kusema kuwa kwa sasa yeye anachofikiria ni kazi zaidi. “Kujuta […]

Read More..

Brother K Aongelea Filamu ya Kirungu Kutoka...

Post Image

MCHEKESHAJI mahiri kutoka kundi la Futuhi Andrew Ngonyani aka Brother K amefanya tour katika vyombo vya habari kanda ya Ziwa akiinadi filamu ya Kirungu ambayo inasambazwa na kampuni mpya kabisa ya Vision One Picture kutoka Dar es Salaam, huku akitamba kuwa filamu hiyo si ya kuikosa. Brother K akiongelea sinema ya Kirungu kupitia Redio Free […]

Read More..

Diamond ni Mshikaji ila Simtegemei -Shettah

Post Image

Msanii Shettah ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Namjua’ amefunguka na kusema kuwa yeye na msanii Diamond Platnumz ni washikaji sana na marafiki wa karibu sana ila inapokuja suala la kazi Shettah anasimama kama Shettah. Shettah alifunguka hayo kupitia show ya Friday Night Live inayorushwa na EATV kila siku ya […]

Read More..