-->

Daily Archives: May 28, 2016

Lulu Awapa Makavu Mastaa Wapenda Kiki

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda kiki kuliko kusaka fedha kitu ambacho yeye hakifanyi. Akizungumza na gazeti hili, pasipo kuwataja majina, Lulu alisema anashangazwa na tabia ya mastaa wengi kuwa ‘bize’ kutafuta kiki kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii badala ya kukutana pamoja na kufikiria ni kitu gani wanaweza […]

Read More..

Saguda: Sijaona Mwanamke wa Kumfananisha na...

Post Image

Ni mwaka wa pili sasa tangu mwigizaji wa filamu za Kibongo, Recho Haule ‘Recho’ kufariki dunia, mume wake Saguda amesema mpaka sasa hajaona mwanamke wa kufanana naye. ‘’Kiukweli ndani ya miaka hii miwili sijaona mwanamke wa kumfananisha tabia na Recho alikuwa na tabia za kipekee sana  na upendo wa dhati’’ Alisema Saguda. ‘’Kitu ambacho ni […]

Read More..

Hakuna wa kufanana na Ngwea bongo – TID

Post Image

Msanii TID amesema mpaka sasa kwenye maisha yake ya muziki hajawahi kuona msanii ambaye atachukua kiti cha aliyekuwa mkali wa ‘free style’ bongo, Albert Mangwea, aliyefariki miaka mitatu iliyopita. Akijibu swali la mtangazaji wa kipindi cha Friday Night Live Sam Misago, alipomuuliza iwapo kuna msanii yeyote anayefikia uwezo wa Ngwea, TID alisema mpaka sasa hakuna […]

Read More..

Wema Sepetu Amuombea Kura Diamond kwenye Tu...

Post Image

Mbali na tofauti zao na Team zao mtandano, staa wa bongo miovie, Wema Sepetu amewaomba mashabiki wake wampigie kura mpenzi wake wa zamani, Diamond Platnumz ambaye anawania tuzo za BET kwenye kipengere cha Best International Act: Africa. Wema aliandika haya kwenye ukurasa wakewa Instagram; “Uzalendo ndo unaotakiwa… Tanzania Kwanza Vingine Baadae… Ama nene…? Vote Vote […]

Read More..

Aje Ilikuwa Suprise kwa Wema Sepetu –...

Post Image

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Alikiba almesema wimbo huo hajamuimbia Jokate na wala hajawahi kumuimbia mtu yeyote, bali aliimba kwa ajili ya mashabiki wake. ” Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu”,. Lakini pia Alikiba […]

Read More..

Bi Hindu Atoboa Sababu ya Bongo Movie Kupor...

Post Image

Muigizaji mkongwe wa filamu za kibongo Bi Hindu amefunguka na kusema kuwa tasnia hiyo ya filamu nchini inazidi kuporomoka na kushuka kwa kasi sababu watu wamesahau misingi ya kazi hiyo na sasa wanafanya utani huku wengine wakiendekeza mapenzi na kuacha vipaji. Bi Hindu alifunguka hayo kwenye kipindi cha eNEWS na kusema kuwa baadhi ya waongozaji wa […]

Read More..