-->

Daily Archives: May 21, 2016

Sifanyi Muziki kwa Ajili ya Tuzo-Nay wa Mit...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nay wa Mitego ambaye alisumbua sana na wimbo wake ‘Shika adabu yako’ ambao ulifungiwa na Baraza la Sanaa (BASATA) na sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Saka hela’ amefunguka na kusema kuwa yeye hafanyi muziki ili kupata au kushinda tuzo. Nay wa Mitego aliyasema haya alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNEWS […]

Read More..

Kisa Talaka, Thea, Mike Wapelekana Kanisani

Post Image

Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa  la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana. Chanzo kilicho karibu na mastaa hao kilidai kuwa, Thea ndiye aliyekusanya picha anazoposti Mike kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake wa sasa […]

Read More..

Jux Asimulia Alivyomnasa Vanessa Mdee

Post Image

Msanii Jux amefunguka na kusimulia namna alivyoweza kumnasa na kumuweka kwenye imaya yake ya mapenzi Vanessa Mdee na kusema kuwa kwa mara ya kwanza aliweza kuonana kwa mara ya kwanza na Vanessa Mdee studio na hapo ndipo walipoanza kujenga taratibu mahusiano yao. Kupitia kipindi cha Mkasi Jux amesema kuwa yeye lengo lake kubwa lilikuwa ni kufanya […]

Read More..

Sijamvisha Mtu Pete- Harmonize

Post Image

Msanii kutoka katika label WCB Wasafi Harmonize ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya wa ‘Bado’ amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya hajawahi kuvalishwa pete ya uchumba na wala yeye hajawahi kumvalisha mtu pete ya uchumba na kudai mpenzi wake mpya Jackline Wolper amemkuta akiwa hana mtu na ndiyo maana wakaweza kuanzisha […]

Read More..

Amanda Abanwa Kuhusu Ukimwi, Afunguka

Post Image

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Amanda Poshi amefungukia taarifa zinazomhusisha yeye kuugua maradhi ya Ukimwi. Amanda amefunguka hayo baada ya kuvuja kwa picha zake zinazomuonesha akiwa amepungua mwili na kusababisha gumzo litawale kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii watu wakihusisha kukonda kwake na ugonjwa huo ndipo mwanahabari wetu alipombana, akafunguka: “Nina desturi ya kupima kila wakati, […]

Read More..