-->

Daily Archives: May 14, 2016

Picha za Wema na Ommy Wakiwa Chumbani Zawa ...

Post Image

DAR ES SALAAM: LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Risasi Jumamosi limepewa mchapo. PICHA ZADHIHIRISHA Hiyo imedhihirika hivi karibuni baada ya kuvuja kwa picha […]

Read More..

Picha: Mamia ya Wakazi wa Jiji la Mbeya Wam...

Post Image

MBEYA: MAMIA ya wakazi ya jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa msanii wa vichekesho James Petro Nsemwa (30) maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki dunia jumatano ya wiki hii mkoani Mbeya, katika makaburi ya Hayombe Uyole Igawilo mkoani Mbeya. Msururu wa wakazi wa jiji la Mbeya pamoja na magari ulitembea kutoka nyumbani kwa wazazi eneo la makondeko […]

Read More..

Madee Akanusha Kufumaniwa Akiwa na Shilole

Post Image

Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani chumbani. Lakini Madee kupitia kipindi cha Planet bongo amekana tuhuma hizo na kusema kuwa suala hilo halina ukweli wowote ule na kudai kuwa […]

Read More..

Mtangazaji Gardner Atakiwa Kumuomba Radhi L...

Post Image

Kufuatia madai  kuwa mtangazaji wa clouds fm, Gadner G Abashi ‘Captain’ kumdhalilisha  mwanamziki Laday jaydee ambaye alikuwa mke wake, wanasheria wa Lady Jaydee wamtaka Gardner kuomba radhi mbele ya umma. Hii ndiyo barua aliyopelekwa kwa Gardner.

Read More..

Sipo kwa Ajili ya Kujiuza- Wastara

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma  ambaye siku za karibuni aliomba talaka kutoka kwa mume wake amefunguka na kusema yeye sio mtu wa kujiuza, bali ni mtu ambaye anajijali na kujitunza. Wastara alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWS ambapo inasemekana kwa sasa kuna wanaume kibao ambao wanajitokeza kumtaka baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake […]

Read More..