-->

Daily Archives: December 15, 2016

Bahati Bukuku Afunguka Baada ya Kuzushiwa K...

Post Image

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Bahati Bukuku ambaye hivi karibuni amezushiwa kufariki dunia kwa ajali, amekanusha taarifa hizo na kusema zimeandaliwa na watu wanaotaka kumpunguzia mashabiki. Akizungumza na East Africa Television Bahati Bukuku amesema taarifa za kifo chake ni mbingu tu ndiyo zitajua, kwa kuwa shetani hana nafasi ya kujua taarifa za kifo chake. “Ni […]

Read More..

Burundian In Dar Kutikisa Afrika Mashariki

Post Image

USHIRIKIANO wa wasanii wa Tanzania na Burundi inatabiriwa kufanya vinzuri sokoni kufuatia umahiri wa wasanii waliocheza katika filamu ya Burundian in Dar, akiongea na FC mtayarishaji wa sinema hiyo Sururu Jafar ‘Burundiano’ amesema kuwa kazi hiyo imekutanisha wasanii nyota Burundi na Tanzania. “Tunatarajia kutikisa Afrika Mashariki na filamu yetu kwani ni kazi ambayo inatukutanisha wasanii […]

Read More..

Spicy ‘Rasta’ Atoboa Sababu ya ...

Post Image

Mwanamuziki Spicy kutoka Nigeria ambaye pia ni mpenzi mpya wa Lady Jaydee, leo ametoa sababu za wawili hao kutokuwa na pete licha ya kuonekana wakiwa katika mazingira walioyaita ‘honeymoon’. kizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Spicy amesema kwa sasa anasubiri hatua za uchumba na ndoa zikamilike, kisha ndipo suala la pete litafuata. […]

Read More..

Saida Karoli: Kuhusu Wimbo wa Salome, Siuju...

Post Image

BAADA ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuachia ngoma ya Salome ambayo ndani yake ametumia melodies na vionjo vilivyomo kwenye wimbo wa mwanadada aliyetamba na kujichukulia heshima kubwa kwenye muziki wa asili hapa nchini, Saida Karoli, taarifa zilianza kuzagaa mitandaoni na kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mbongo Fleva huyo ameiba wimbo wa […]

Read More..

Chuchu Afungukia Kuficha Ujauzito Wake

Post Image

Msanii wa filamu za bongo Chuchu Hansy amezungumzia sababu ya ujauzito wake na kusema kuwa hajataka kuweka hadharani kwani ni kitu binafsi.   Akizungumza na East Africa Television, Chuchu Hansy amesema taarifa za yeye kuwa na ujauzito ameamua kufanya siri kwani anaona si vyema kuzungumzia vitu binafsi hadharani hususani kwenye mitandao, na kwamba muda muafaka […]

Read More..