-->

Daily Archives: December 30, 2016

Raymond Afunguka Kuhusu Yeye na Alikiba Wak...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Rayvanny amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Alikiba ambaye ni mpinzani mkubwa wa boss wake Diamond Platnumz. Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na wimbo Salome alioshirikishwa na Diamond, amedai yeye hana tatizo na Alikiba na hata ikitokea nafasi ya kolabo atafanya naye. “Alikiba huwa nikikutana naye huwa […]

Read More..

Man Fongo: Bila Mimi Hakuna Kisingeli

Post Image

Msanii wa Singeli Man Fongo ambaye aliibuka mshindi katika tuzo za EATV Awards kama msanii bora anayechipukia amefunguka na kusema kuwa hakuna muziki wa kisingeli bila yeye. Man Fongo alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ na kusema kutokana na mapenzi aliyopata kutoka kwa mashabiki na kumuwezesha kupata tuzo ya #EATVAwards ameamua kuwashukuru mashabiki kwa kufanya […]

Read More..

Kadinda Akanusha Kugombana na Wema

Post Image

MBUNIFU wa mavazi nchini, Martin Kadinda, amesema hana ugomvi wowote na nyota wa filamu, Wema Sepetu, kama watu wanavyodai. Akizungumza na MTANZANIA jana, Kadinda alisema watu wamezoea kukaa na kutengeneza mambo ambayo hayapo, yeye ni meneja wa Wema na ataendelea kufanya naye kazi kama kawaida. “Watu wamezoea kuzusha kila kukicha, kwa upande wangu sijawahi kugombana […]

Read More..

Kiba na Diamond Kupatana Sasa Haiwezekani-D...

Post Image

Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo fleva Dully Skyes ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Inde’ amefunguka na kusema anauwezo wa kuwapatanisha wasanii Alikiba na Diamond na kumaliza tofauti zao Japo anakiri wazi kuwa ugomvi wa wasanii hao kwa sasa ni mkubwa kwani umeshatoka mpka kwa watu wa nje. Dully Skyes akiongea kwenye […]

Read More..