-->

Daily Archives: February 4, 2016

Riyama Ally, My Stereo, Kuhalalisha Mahusia...

Post Image

Msanii wa filamu Riyama Ally, baada ya kuingia katika hatua ya Uchumba kimya kimya na mpenzi wake ambaye ni msanii chipukizi wa Bongo Fleva leo Mysterio, amesema kuwa mpango wao wa kuhalalisha mahusiano yao umeanza kunukia, hasa baada ya msanii huyo kujihakikishia nafasi yake kwa kutoa posa. Riyama ambaye baada ya hatua hiyo amekuwa mwepesi […]

Read More..

Kiss My Pain-Official Trailer (Bongo Movies...

Post Image

Official Trailer Movie: Kiss My Pain Production: Freedom Fighter Films Genre: Drama Cast: Irene Uwoya, Hemmed Suleiman, Brother K. Dayana Jerome, Edward Humalija Distributor: Step entertainment Release date: 22 January, 2016

Read More..

Zari Ahofia Kuishi Bongo!

Post Image

Dar es Salaam: Ubuyu! Tumbuatumbua ya majipu ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ inadaiwa kumtisha mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuja kuishi Bongo ikidaiwa kisa ni utajiri mkubwa alionao wenye shaka juu ya malipo ya ushuru na mapato. Habari kutoka kwenye chanzo […]

Read More..

Dada Zangu wa Bongo Movies Washobokaji Kaso...

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Niva  amefunguka na kudai kuwa dada zake wengi wa Bongo Movies wanapenda kuwashobokea wanaume hasa wakiona vitu kama magari. ‘Dada zangu wa bongo movies wengi washobokaji, watu ambao sio washobokaji ni wawili tu kwenye bongo movies nzima, Riyama na Monalisa kwisha, walionbaki wote  ni washobokaji, wakimuona mtu hivi basi, shobo shobo”. […]

Read More..

‘Tajiri Mfupi’ ya Ray Kigosi kuibua vip...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema filamu yake mpya ‘Tajiri Mfupi’ inakuja kuibua vipaji vipya vya kuigiza kutokana na ubora wake pamoja na wahusika aliyowatumia. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Ray alisema filamu hiyo itakuwa kubwa na itabadili mitazamo ya watu wengi kuhusu tasnia ya filamu. “Tajiri Mfupi inatoka mwezi huu mwishoni,” alisema […]

Read More..

Nuh Mziwanda Amwangukia Shilole

Post Image

STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anasemekana amemwangukia kwa mara nyingine aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumtaka warudiane. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Mbongo Fleva huyo amekuwa katika wakati mgumu tangu alipoachana na Shilole hivyo kulazimika kumpigia simu na kumwandikia ujumbe wa maneno akimuomba amsamehe na warejeshe penzi lao […]

Read More..