-->

Daily Archives: February 9, 2016

Wema Sepetu Afunguka Kuhusu ‘Range’ Yak...

Post Image

Baada ya kuzagaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya magazeti kuwa ile ‘Range Rover Evogue’ ya staa wa filamu, Wema Sepetu aliyojizawadi katika siku yake ya kuzaliwa imekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa madai alikwepa kulipa kodi, Wema amesema gari yake ipo nyumbani kwake. Akizungumza na 255 katika kipindi […]

Read More..

ROMA Kuhalalisha Mahusiano Yake na Mama Iva...

Post Image

Msanii wa muziki Roma Mkatoliki ameamua kuhalalisha mahusiano yake na mama wa mtoto wake, akiwa sasa katika mchakato wa kuoa, mwishoni mwa wiki akikamilisha zoezi zima la send-off ya mpenzi wake huyo kuelekea harusi. Roma na Mama Ivan wamepata backup kubwa kutoka kwa msanii wa muziki Kala Jeremiah, ambaye alikuwa ndiye mpambe wa msanii huyo, […]

Read More..

Usharobaro Wamtokea Puani Stan Bakora

Post Image

Usharobaro umemtokea puani komediani wa Bongo, Stanley Yusuph ‘Stan Bakora’ baada ya kudondoka na kuumia mguu wa kulia wakati akifanya mazoezi ya kutumia Cyboard (Saibodi). Ishu nzima ilitokea wiki iliyopita katika moja ya duka la nguo lililopo Kinondoni, Dar baada ya kupiga mwereka wa kufa mtu na kujikuta akianguka kama mkungu wa ndizi kutoka juu […]

Read More..

Nilimpokea Sharomilionea kwa Mikono Miwili-...

Post Image

Msanii wa vichekesho Kitale alimaarufu kama Mkude Simba amefunguka na kusema kuwa yeye ndie aliyempokea aliyekuwa msanii wa vichekesho na msanii wa bongo fleva marehemu Sharo Milionea. Akipiga stori katika kipindi cha Mkasi Tv kinachorushwa kupitia ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Kitale amesema kuwa yeye ndiye alimpokea Sharo Milionea na kumtambulisha kwenye tasnia, Kitale […]

Read More..

Wapuuzwe Wanaodai Tasnia ya Filamu Imekufa ...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amewataka mashabiki wa filamu kuwapuuza watu wanaodai tasnia ya filamu imekufa baada Steven Kanumba kufariki. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii, Ray alisema huu ni wakati kwa wadau wa filamu pamoja na mashabiki kusupport wasanii waliopo kwa nunua kazi zao. “Mimi nataka mashabiki wa filamu wajue hii tasnia […]

Read More..

Ukimtaka Shilole Andaa Mil. 20

Post Image

Amepanda dau? Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa bila mtu kuwa na kiasi cha Sh. Milioni 20 mkononi, hawezi kucheza filamu yake kwa kuwa kwa sasa anaona kama ni kumpotezea muda. Akipiga na Ijumaa Wikienda, Shilole au Shishi Baby alifunguka kuwa soko la filamu Bongo, linashuka na pia wasanii wanatumia muda mwingi […]

Read More..