-->

Monthly Archives: June 2016

Uwoya Aitwa Ikulu ya Kenya

Post Image

Zali! Kuna madai kwamba, Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta amempa mwaliko maalum staa mwenye mvuto katika sinema za Bongo, Irene Pancras Uwoya kuitembelea ikulu ya nchini hiyo, ikiwa ni msanii wa kwanza Bongo kupata fursa hiyo, Amani limedokezwa. Kwa mujibu wa chanzo, awali rais huyo aliwahi kutolewa na jarida moja la nchini humo kwamba […]

Read More..

Young Dee: Nimekoma ngada

Post Image

Baada ya mengi kutokea na kuvuma juu ya tetesi za utumizi wa madawa ya kulevya kwa msanii wa bongo fleva Young D hatimaye amerudi tena kwa kiongozi wake wa zamani Max na kutangaza kuacha ngada mbele ya waandishi wa habari. Enewz imezungumza na MAX na tukamuuliza tulitegemea kusikia wimbo mpya wa Young D leo hii […]

Read More..

Diamond: Niombeeni Nirudi na Tuzo

Post Image

WAKATI akisafiri kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kushiriki utoaji wa tuzo za BET, msanii wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond’, amewataka Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Juni 26. Diamond alichaguliwa kuwania tuzo hizo kipengele cha msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika (Best International Act Africa). Kupitia kwa meneja wake, […]

Read More..

Irene Uwoya Kusomesha Watoto 10

Post Image

NYOTA wa filamu za Tanzania, Irene Uwoya, amechangia katika mfuko wa binti ili kusaidia kusomesha watoto 10 kati ya wengi wanaoishi kwenye mazingira magumu. Uwoya alitoa mchango huo mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuhitimisha matembezi ya kuchangisha fedha na vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi mazingira magumu. “Nimejitolea kusomesha watoto hao 10 kupitia ‘Binti […]

Read More..

Huu ndiyo Ujio Mpya wa J.Plus na Seba

Post Image

Nyota wa filamu za Action nchini Tanzania ambaye ni mmoja kati ya mwasisi wa filamu hizo, Jimmy Mponda maarufu kama “J.Plus” aliyeanza rasimi kutoa Action Muvi ya “Shamba kubwa” mnamo mwaka 1994, Filamu yake ya pili ikafuata 1995, ilipewa jina la “Unga Adui” yatatu iliitwa “Kifo haramu” ilikuwa 1997 ya nne ilikuwa “Usia” 2003. 2005-2010 […]

Read More..

Afande sele Adai Kuwa na Wanawake Kama Sita...

Post Image

Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na mahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia watoto wake huku akiangalia kati yawatu hao alionao yupi anastahili kuwa malkia. Afande Sele alisema hayo […]

Read More..

Juma Nature Afukukia Wasanii Wanaotumia Ung...

Post Image

Baada ya hapo jana  msanii Young Dee kukiri kutumia madawa kwa mwaka na nusu na kwamba ameacha huku akiahidi maisha mapya, msanii mkongwe wa bongo Fleva, Juma Nature ametoa maoni yake pia kuhusiana na matumizi ya madawa hayo. “Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni kweli kuna wasanii wanakula mambo hivi, mbona sisi uhuni […]

Read More..

Johari Aanika wa Kumpa Penzi Lake

Post Image

Mwigizaji wa kitambo kunako Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kuwa, ni bora ajihusishe na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ‘kapuku’ (asiye tajiri wala maarufu) kuliko kutoa penzi lake kwa staa yeyote wa Kibongo kwa sababu wengi wao ni ‘michosho’. Johari (pichani) aliliambia Amani hivi karibuni kwamba, kwa upande wake, hivi sasa kutoka na […]

Read More..

Nitafuturu na Wasiojiweza – Nisha

Post Image

Msanii wa bongo fleva Nisha anategemea kuwafuturisha watu wasiojiweza tarehe 26/6/2016 viwanja vya Azania Lego ili kuweza kuwasaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu na wasiojiweza ikiwa kama moja kati ya sadaka zake ambazo atakuwa ametoa. Pia ameendelea kusema kwamba futari hiyo haina masharti, hivyo anawaalika watu wote bila kujali dini kuweza kujumuika na yeye katika […]

Read More..

Siwema Amuumbua Nay wa Mitego

Post Image

SIKU chache baada ya mzazi mwenzake na msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego,’ Siwema Edison kutoka gerezani na kutakiwa atumikie kifungo cha nje, amefunguka ya moyoni huku akimuumbua ‘zilipendwa’ wake huyo aliyekuwa akidai alipambana kumsaidia. Chanzo makini cha habari hii kilitutonya hivi karibuni kuwa, mbwembwe zote alizokuwa akizitoa Nay kuwa yeye ndiye kila kitu mpaka […]

Read More..

Young Dee Akiri kutumia Unga, Aomba Radhi

Post Image

Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu. “Sina mtu ambaye ninaweza kumlaumu, lakini mazingira ambayo nimepitia ndio ambayo yamefanya hivyo, kuna wakati ambao nimeishi sana na watu mtaani, kwa hiyo kidogo kidogo ikanifanya niweze kushawishika na […]

Read More..

Chuchu Hansa: Daku Ina Masharti Yake

Post Image

Msanii wa kike kutoka katika kiwanda cha Bongo Move Chuchu Hans ameiambia eNewz kwamba ameamua kuandaa filamu hiyo amabayo itaonyesha masharti na utaratibu wa daku kwa watanzania wote bila kuangalia tofauti za dini zao. Hata hivyo Chuchu amesema watu wengi huwa wanakuwa makini katika kufuatilia futari na mchana wanapokuwa wamefunga na muda wa kula daku, […]

Read More..

Afande Sele: Bongo Fleva Imefuata ya Bongo ...

Post Image

Rapper mkongwe kwenye bongo Fleva, Afande sele, amesema muziki wa bongo fleva sasa hivi unapoteza dira na kufuata nyayo za bongo movie, za kutumia kiki kutangaza kazi. Akiongea kweye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema masuala ya kiki yalikuwa ni kawaida kwa wasanii wa filamu za bongo, lakini sasa hivi wasanii wa […]

Read More..

Quick Rocka na Siri ya Kugandana na Kajala

Post Image

GEMU la Muziki wa Bongo Fleva lina vijana wengi wenye vipaji,  miongoni mwao ni Abbott Charles ‘Quick Rocka’ aliyeanza kusikika mwishoni mwa miaka ya 2000 akiwa na Kundi la The Rockers. Kundi hilo liliundwa na wasanii Mo Rocka, Chief Rocka na Dau Rocka waliotamba na ngoma ya The Rockers Antherm. Ungana naye katika Exclusive interview […]

Read More..

Hawa Wamebambwa Utamu!

Post Image

WAUMINI wa dini ya Kiislam duniani wapo katika mfungo wa Mwezi wa Ramadhani. Mfungo huo ni moja kati ya nguzo tano za dini ya Kiislam, ikiwa ni nguzo ya nne. Katika nguzo hii, waumini hujizuia kula na kunywa mchana kutwa, sambamba na kujipinda katika kutenda mambo mema na kuepuka maovu, huku pia wakiomba msamaha kwa […]

Read More..

Wema Afunguka Kuhusu Kurudiana na Diamond

Post Image

Vunja ukimya! Tetesi zinazogonga vichwa vya mashabiki wa mastaa wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ zimepata ufumbuzi baada ya mlimbwende huyo kuanika ukweli wa ‘ubuyu’ huo, Wikienda limefanya naye mahojiano maalum (exclusive interview) yaliyochukua dakika 45. KABLA YA MAHOJIANO Kabla ya Wema kufunguka mambo mazito juu ya Diamond, uchunguzi wa […]

Read More..

Zuu: Mimi mzuri zaidi ya Shilole

Post Image

Yule Video Vixen wa ngoma mpya ya Nuh Mziwanda ‘Jike Shupa’ ambaye anafahamika kwa jina la Zuu amefunguka na kusema kuwa yeye ni mrembo zaidi ya Shilole na amejaaliwa kuliko huyo Shilole. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na EATV Zuu amedai kuwa yeye ni zaidi ya Shilole kwani yeye ni mweupe zaidi wakati […]

Read More..

Lulu Ajikita Chuo, Anasomea Kozi Hii

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Human Resource. Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo. “Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Human Resource,” […]

Read More..