-->

Monthly Archives: June 2016

Master Jay: Tulikuwa Wapenzi Miaka 10 Bila ...

Post Image

MTAYARISHAJI wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, amesema alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msanii Sarah Kaisi, ‘Shaa’ kwa miaka 10 bila kuweka wazi. Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi walipoamua kuweka wazi hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao. “Nilimpenda […]

Read More..

Mose Iyobo Atangaza Ndoa

Post Image

Mchezaji maarufu wa muziki wa Bongo Fleva Moses Peter anaetambulika kwa jina la Mose Iyobo anefanya kazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kudai kuwa ndoa yake na staa wa Bongo muvi Aunt Ezekiel inanukia. kizungumza na eNewz Mose alisema kuwa kuna kitu ambacho watu hawafahamu ambacho ni kuwa, yeye anakaribia kuwa bwana harusi wa […]

Read More..

Mike: Nitakodi Ndege Kupeleka Mahari ya Mri...

Post Image

Mwigizaji wa kiume Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ amesema kuwa anatarajia kukodi ndege kwa ajili ya kwenda mkoani Mbeya kupeleka mahari ya mchumba’ke wa sasa aliyemtaja kwa jina moja la Eliza ambaye ndiye mrithi wa aliyekuwa mkewe, Salome Urassa ‘Thea’. Akizungumza na Wikienda, Mike alisema kuwa amekuwa akichafuliwa kwa mchumba’ke huyo na watu wanaomwambia maneno lakini […]

Read More..

Hamisa Amlipua Lulu

Post Image

Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto, amemlipua laivu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kisa kikidaiwa ni lile saga la kugombea penzi la kigogo (jina tunalo) ambapo kwa sasa hali ni tete baina ya wawili hao. Hivi karibuni kuliibuka vita kali ya matusi mitandaoni kati ya kundi la […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Nipo na Nitaendelea Kuwepo

Post Image

MSANII nyota wa kike wa filamu Bongo Aunt Ezekiel amefunguka kwa kusema kuwa yupo na ataendelea kuwepo katika tasnia ya filamu kwani ndio kazi inayompatia maslahi na heshima kama msanii mwenye hadhi kubwa. Nipo na nafanya kazi zangu za filamu kama kawaida sijapotea katika game kama wengine wanavyosema tena mwaka huu nimetoa kazi nyingi tu […]

Read More..

Kituo cha Life and Sobber House Bagamoyo Ch...

Post Image

Kituo Cha kusaidia Watu walioathirika na Dawa za Kulevya cha Life and Hope Sober House kilichopo Bagamoyo kimekanusha kuwepo kwa taarifa juu ya msanii wa miondoko ya Hip Hop, Rashid Makwiro maarufu kama Child Benz kutoroka kituoni hapo.   Akikanusha tuhuma hizo za kutoroka kwa Msanii huyo, Mkuu wa Kituo hicho, Al-Kareem Bhanji ameeleza kuwa […]

Read More..

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Jo...

Post Image

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya miaka mitano ya ualimu wa sayansi, wametakiwa kusoma ngazi ya cheti au stashahada. Kama watataka kusoma ngazi ya juu, watapaswa kuomba upya udahili. Aidha, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imesema wanafunzi […]

Read More..

Abdukiba Afunguka Kuhusu Kufanya Kazi WCB

Post Image

Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba amefunguka na kusema kama ikitokea WCB Wasafi wakataka kufanya kazi na yeye inawezekana kwani yeye anaangalia mpunga (pesa) zaidi,hivyo kama watakuwa na pesa za kutosha na makubaliano mazuri anaweza kufanya kazi chini la Label hiyo ya ‘WCB Wasafi’ Abdukiba amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East […]

Read More..

Ukimya wa Odama Wawapa Jibu Mastaa!

Post Image

Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ukimya wake wa muda mrefu umewapa jibu mastaa wenzake kwani kuibuka kwake na sinema mpya kumezua gumzo na kumpa heshima ya kuendelea kusimama kama msanii. Odama ameliambia Wikienda, kuwa alipoamua kukaa kimya alikuwa na sababu kwani alikuwa ametuliza kichwa kuhakikisha anaibuka na sinema itakayozidi kumjengea […]

Read More..

Picha: Meninah Afunga Ndoa Tena

Post Image

Staa wa bongo Fleva alieibukia kwenye BSS, Meninah  La Diva, amefunga ndoa tena na mwanaume mwingine. Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika. Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo. Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza […]

Read More..

Mama Harmonize Amtilia Shaka Wolper

Post Image

Siku chache baada ya staa wa Wimbo wa Bado, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ kumtambulisha mchumba’ke, Jacqueline Wolper Massawe nyumbani kwao katika Kijiji cha Mahuta mkoani Mtwara, siri imevuja kuwa wakati wa zoezi hilo, mama mzazi wa jamaa huyo, anadaiwa kumtilia shaka mrembo huyo juu ya mwanaye na kumpa wosia mzito. Tukio la utambulisho huo lilifanyika nyumbani […]

Read More..

Picha: Mwana FA Afunga Ndoa

Post Image

Ndoa huyo imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, GK, Alberto Msando na wengine. Hongera sana Mwana FA.

Read More..

Nunua Filamu Hapa: Filamu Mpya Zilizotoka, ...

Post Image

NUNUA FILAMU HAPA: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. Filamu hizi zinapatikana sasa

Read More..

Diamond Platnumz Atoa Msada wa Madawati 600

Post Image

Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote wa WCB, leo wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda madawati 600 ya wanafunzi ambayo yatasaidia takribani ya wanafunzi 1800 katika jiji la Dar es Salaam ambao walikuwa wanakaa chini. “Mapema leo na familia nzima ya WCB wasafi katika ofisi ya Mkuu wa […]

Read More..

Chuchu Hans Adaiwa Kunasa Ujauzito

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans anadaiwa kunasa ujauzito wa mchumba wake ambaye naye ni staa wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’. Kwa mujibu wa chanzo ambacho kipo karibu na wawili hao, Chuchu kwa sasa ni mtu wa kujifungia ndani na amekuwa hapatikani kwenye matukio mbalimbali yanayomhusu. “Ameshanasa, tena ujauzito huo ni wa Ray, unaambiwa sasa […]

Read More..

Esha Alia Wivu kwa ‘Hausigeli’ Wake

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Esha Buheti ‘amelia’ wivu kwa mfanyakazi wake wa ndani (hausigeli) kuwa katika maisha yake ya ndoa hapendi kumwachia ampikie mumewe kwani siyo maadili. Akizungumza na Showbiz Xtra Esha alisema kuwa, hata mumewe akipikiwa na dada wa kazi huwa anajua kwani akikionja chakula tu lazima aulize mpishi ni nani kutokana kuwa […]

Read More..

Mau Fundi Ahamia ‘Stand Up Comedy’!

Post Image

MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu Maulid Ali ‘Maufundi’ amesema kuwa kwa sasa katika kujiongezea kipato kwenye uigizaji anageukia uchekeshaji wa majukwaani (Stand up Comedy) ili kuepukana na hali ya soko la filamu ambalo limepoteza mwelekeo. “Waswahili husema ukicheka na Nyani utavuna mabua, sasa mimi sitaki kuvuna mabua ndio maana nakimbilia kwingine ambako wengi wanakuogopa […]

Read More..

Babu Tale Afungukia Swala la Wasanii wa ‘...

Post Image

Baada ya kambi ya WCB kuonekana wasanii wake wanapenda kutoka kimapenzi na wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao, uongozi wa kambi hiyo umelizungumzia swala hilo. kizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii, Mmoja kati ya viongozi wa juu wa kambi hiyo, Babu Tale, amesema ni bahati kwa wasanii wake kupata wanawake waliowazidi umri. “Sisi tunameneji […]

Read More..