-->

Daily Archives: May 13, 2016

Najma: Sijali ‘Makombo’ kwa Baraka

Post Image

Mwanamuziki Najma Dattan ‘Naj’ ameibuka na kusema kuwa kwa msanii mwenzake Baraka Da Prince amefika wala hajali ametoka na wanawake wangapi kwa sababu hata yeye ana ‘pasti’ yake. Akizungumza na Ijumaa, Najma alisema kuwa amekuwa akiwashangaa wasichana waliopita kwa Baraka ndiyo wanamuongelea kila siku wakidai anakula makombo lakini Baraka mwenyewe haongelei kabisa uhusiano wa watu […]

Read More..

Wanaume wa Mitandaoni Wamenipa Somo-Giggy M...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva ambaye jana ameachi wimbo wake unaoitwa ‘Supu’ amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hataki tena wanaume wa mitandaoni na kudai kuwa wanaume hao wamempa somo. Giggy Money akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo amesema kuwa msanii Hemedy Phd pamoja na Rich Mavoko ndiyo wasanii ambao walimtokea kupitia njia ya mtandao na […]

Read More..

Diamond Afungukia Madai ya Yeye na Zari Kuc...

Post Image

Star wa Bongo fleva Diamond Platnum akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya Raymond Akizungumza na Enewz Diamond alisema kuwa hizo ni stori tu ambazo mapaparazi waliamua kuzitengeneza lakini Zari hakuwahi kuwa na uhusiano wowote na Ivan […]

Read More..

Kwa Picha Hii, Wema Amemjibu Zari?

Post Image

Miezi kadhaa iliyopita liliibuka gumzo kubwa mtandaoni kati ya Timu Wema na Timu Zari kuhusu nani kati ya Wema Sepetu na Zarinah Hassan ‘Zari’ ana wowowo kubwa. Katika mjadala huo kila upande ulikuwa ukivutia kwake huku mara nyingi Timu Zari wakitumia ile picha aliyopiga Zari na Diamond (Zari kavaa gauni jekundu na Diamond kavaa suti […]

Read More..

Wastara Afunguka Kuhusu Ndoa Tena

Post Image

Msanii wa bongo Movie Wastara Juma afunguka juu ya stori zinazozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na magazeti ya udaku kuwa hataki tena Ndoa. Akizungumza na Enewz Wastara alikanusha tuhuma hizo na kusema kuwa ndoa yake na mheshimiwa ilikua imejaa timbwili timbwili na makubwa mpaka ikapelekea akadai talaka na baada ya mheshimiwa kusanda pia wametokea […]

Read More..