-->

Daily Archives: May 10, 2016

Prof Jay Afunguka Haya Kuhusu Mwana FA, Nik...

Post Image

Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Prof Jay’ amewataja wasanii ambao wana uwezo wa kuwa viongozi kama wakipewa nafasi na wananchi. “Wasanii wengi wana misimamo mizuri,wana shule lakini nina wasiwasi kama watakuwa na uwezo wa kujitoa kama hivi maana kazi ya ubunge si tu kuona na kutaka kuwa kama […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kutamani Kumuoa Wema S...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amefunguka kuwa Wema Sepetu asingekuwa ‘Super Star’ nilitamani awe mke wake. Kupitia redio cloudsfm, ommy alieleza haya; “Ndio maana mimi sipendi ku’date’ na watu maarufu unakuwa hakuna ‘privace’ watu watajua kunakuwa na mambo mengi sana, sometimes unaishi siyo maisha yako utakuwa unawaridhisha mashabiki wa ‘girlfriend’ wako kwasababu ukifanya hivi […]

Read More..

COSOTA Yatoa Wito Huu kwa Wasanii

Post Image

WASANII nchini wametakiwa kutambua wajibu wao katika suala zima la hatimiliki ili kuweza kujiinua kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kimataifa wa vyama vya usajili wa kazi za wasanii (AFRO), Mwenyekiti wa Bodi wa Chama cha hati miliki Tanzania (Cosota), Dk. Ritta Mwaipopu, alisema endapo kama wasanii […]

Read More..

Mose Iyobo Afunguka Mapya Juu ya Mahusiano ...

Post Image

Akizungumza na Bongo5, Mose amesema hasa hasa amenufaika sana na umaarufu wa Aunt Ezekiel ambae ni staa mkubwa katika tasnia ya filamu. “Kuwa na mahusiano na mama Cookie kumenisogeza sana,” alisema Mose. “Kwa sababu ni star wa filamu toka kitambo sana. Mimi nilikuwa najulikana lakini siyo kivile, lakini nilivyokutana na Mama Cookie kuna vitu vingi […]

Read More..

Hemed PHD Afunguka Kuwazimia Wanawake wa Ai...

Post Image

Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba Akizungumza na Enewz Hemedi alisema kuwa yeye hana chaguo la wanawake wembamba na alishajaribu kuwa nao lakini alishindwa na kuwataka aina hiyo ya wanawake kukaa mbali naye. “Mimi sipendi mwanamke […]

Read More..