-->

Daily Archives: March 2, 2017

VIDEO:Mwana FA Afunguka Haya Kuhusu Mchang...

Post Image

Mwana FA anataka kuweka mambo clear: Hakuna mtu mwenye mchango mkubwa kwenye muziki tunaofanya kama Profesa Jay. Ameiambia Bongo5 kuwa huo ni ukweli ambao wachache wasiompenda watapinga hadharani lakini mioyoni mwao wana msimamo tofauti. “Mimi binafsi ni heshima ya kipekee kabisa kwa Profesa Jay. Hakuna mtu mwenye mchango mkubwa kwenye aina ya muziki tunaofanya kama […]

Read More..

Wasanii Wamtenga Shija, Afunguka Mazito

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa, wasanii wanamtenga, kisa sakata la unga ambalo lilimsababishia kuwekwa sero bila kujua sababu ya yeye kuingia huko. Akizungumza na Amani baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam alikowekwa sero kwa siku 15, Shija alisema katika sakata hilo ambalo lilihitaji faraja ya wasanii wenzake, […]

Read More..

New Music: Harmorapa Aachia Wimbo ‘Ki...

Post Image

Msanii wa muziki Harmorapa ameachia wimbo wake mpya Kiboko ya Mabishoo akiwa amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umeandaliwa na producer T Touchez. Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno […]

Read More..

VIDEO: 80% Bongo Movie Hawana Vipaji –...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Tanzania Aunty Ezekiel amefunguka na kusema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wasanii wa filamu nchini hawana vipaji, na wanafanya kazi kiubabaishaji, jambo linalochangia tasnia hiyo kuporomoka. Aunty amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, na kusema kuwa sehemu kubwa ya wasanii wa filamu nchini […]

Read More..

Shilole Akanusha Kutaka Kuvunja Ndoa ya Nuh...

Post Image

Msanii wa muziki na filamu Shilole amekanusha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa ameoa mwanamke mwingine aitwae Nawal. Kupitia mitandao ya kijamii zilizagaa taarifa kwamba wawili hao wamerudia na wako karibu zaidi. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Shilole alidai kwa sasa yeye na Nuh ni washikaji na kuna baadhi […]

Read More..