-->

Daily Archives: February 8, 2016

Waandishi wa ‘Script’wanatuangusha – JB

Post Image

Msanii nguli wa filamu za kitanzania Jacob Steven maarufu kama JB, amesema kushuka kwa thamani kwa filamu za sasa hivi ukitofautisha na zile za zamani, kunasababishwa na waandishi wa hadithi kutofanya vizuri, na upungufu wa waongozaji wazuri. B ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Television, na kusema kwamba filamu yoyote inatengenezwa na hadithi nzuri […]

Read More..

Shilole Hakuwa Mke Mzuri Kwangu – Nuh...

Post Image

Nuh ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba wakati yupo kwenye mahusiano na Shilole alishindwa kuonesha undani wake, ambao amekuja kuujua baada ya kuachana na penzi kuisha. “Baada ya mapenzi kuisha mi nimekuwa adui yake, amehack acount yangu ya instagram najaribu kuwacheki wa kurudisha acount […]

Read More..

Filamu ya Kiboko Kabisa Yaifunika Filamu za...

Post Image

ILE filamu kubwa ya Kiboko kabisa kila kona ni Kiboko kabisa inakimbiza Sokoni kila ukikutana na mpenzi wa filamu anasema Kiboko kabisa kwa utafiti uliofanywa na FC unaonyesha kuwa filamu hiyo imezifunika sinema zote toka kuanza kwa mwaka huu sambamba na filamu ya Chungu cha Tatu iliyotoka kabla ya Kiboko Kabisa. Kijana mmoja muuzaji maarufu […]

Read More..

Naepuka Kutumika Bila Faida – Lulu

Post Image

Staa wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kama unamtaka kumshirikisha katika filamu yako, andaa milioni 15 kwani anaogopa kuendelea kutumika bila faida. Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumapili hii, Lulu alisema tayari alishatengeneza jina kwa miaka mingi na sasa anahitaji pesa. “Kufanya filamu kwa milioni 15 sio hela nyingi, watu […]

Read More..

Baada ya Jimmy Mafufu Kushindwana na Jason ...

Post Image

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Jimmy Mafufu amemwangukia msanii wa filamu Bongo Zubery Mohamed ‘Niva’ kwa kumshirikisha katika filamu ya Ishakua soo sinema ambayo ipo njia kutoka tarehe 15.February .2016 awali msanii huyo alikuwa na mpango wa kumshirikisha msanii mkubwa kutoka nchini Marekani Jason Statham katika filamu hiyo ambayo ni filamu ya kipekee kwa […]

Read More..

Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa...

Post Image

Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu. Flora Mvungi akiwa hospitali Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare picha katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusu ugeni huo. Kupitia instagram, H.Baba aliandika. Asante mungu kwa kila jambo #watoto nifaraja […]

Read More..

“Nampenda yeye” ndio ilinitoa k...

Post Image

Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake. Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly akiwa anashirikia pia kwa ukaribu na Chege, amesema kuwa alilazimika kununua fanicha za ndani kutokana na mauzo ya album hiyo, ambapo aliweza […]

Read More..