Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tu...
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii. Diamond ameibuka mshindi wa tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika. “Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo. […]
Read More..





