-->

Monthly Archives: June 2017

Alipo Barnaba Si Levo Zake Kabisa! (Maoni)

Post Image

KUWA na kipaji ni suala moja, kukitumia ni suala la pili. Ila suala muhimu zaidi ni kuvuna matunda stahiki kupitia kipaji husika. Ni ujinga kuwa na kipaji na kuishia kupewa sifa tu. Haina maana kuwa na kipaji kikubwa ikiwa wanaofaidika ni wale wenye vipaji vya kawaida. Barnaba ni msanii mwenye kipaji kikubwa. Wengi wa wasaniii […]

Read More..

VIDEO: Shaa Afunguka Kuhusu Kolabo na Chipu...

Post Image

Malkia wa uswazi anayefanya poa kwenye game ya bongo fleva, Shaa amefunguka na kusema haoni shida kumsaidia msanii chipukizi ili kutimiza malengo yake kwani hata yeye alishikwa mkono na wasanii wakubwa pasipo kulipishwa hata shilingi mia. Akiongea kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Shaa amesema yeye wakati anaanza muziki akiwa msanii mdogo aliweza kupata nafasi ya […]

Read More..

Chid Benz Aibuka, Afunguka Mazito, Baada ya...

Post Image

DAR ES SALAAM: HUYU HAPA! BAADA ya Mwanamuziki Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kupotea kwa muda mrefu kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, kufuatia kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, hatimaye ameibuka na kufunguka mambo kibao. Akizungumza na Risasi Jumamosi hivi karibuni, Chid Benz ambaye kwa sasa yupo jijini Dar akitokea Zanzibar alikokuwa amekwenda […]

Read More..

Jay Moe Akiri Kuwa-diss Hawa

Post Image

Mkongwe aliyerudi kwenye game kwa kasi nzuri, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’ amefunguka na kusema kwamba kwenye nyimbo zake alizoweza kuandika na ku-diss watumiaji wa unga ilikuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kwa marafiki zake na wasanii kwa njia ya sanaa. Jay Moe ameweka wazi hayo baada ya kuulizwa juu ya mstari wake ‘ bora mimi […]

Read More..

Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya P...

Post Image

Leo June 12 2017 ndio ilikua siku ya Rais Magufuli kuipokea Ripoti ya pili ya mchanga wa madini ambao Makontena yake yalizuiwa kusafirishwa kwenda nje ya Tanzania.. hii video hapa chini itakukutanisha na kila alichosema na kuonyesha hisia zake

Read More..

Wema Sepetu na Gabo Zigamba Ndani ya KISOGO...

Post Image

Malkia wa filamu Bongo Wema Sepetu, ameweka bayana ujio wa filamu fupi mpya ya “Kisogo” aliyofanya pamoja na muigizaji mwenzake Gabo Zigamba, itakayo weza kupatikana kwa njia ya mtandao. Wema amebainisha hayo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuweka kionjo cha filamu hiyo pamoja na ujumbe huu. “Asikwambie Mtu Kuigiza Raha bwaaana… Sema ndo […]

Read More..

Wivu Utaniua – Shamsa

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba hataweza kukubali Mume wake kuongeza mke wa pili kama hataweza kumpa sababu maalumu kwa kuwa anaamini anamtosheleza mume wake kwa kila kitu. Shamsa amefunguka hayo kwenye FNL na kusema kuwa wivu alionao juu ya mume wake hafikirii kama atakubali kirahisi kuongezewa mke mwenza huku akiwa […]

Read More..

Wema: Ustaa ni Mateso, Niacheni

Post Image

“NAHITAJI kupumzika sasa, nimechoka kuhusishwa na mambo yasiyo na mashiko. Kwakweli nimechoshwa na ninaumizwa sana na hii hali,” ndivyo anavyosema msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu. Wema ambaye ni Miss Tanzania mwaka 2006, amezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya clip inayosikika sauti inayodaiwa ni yake akizungumza kimahaba na mtu anayedaiwa kuwa […]

Read More..

AT Atoa Siri Kuhusu Kiba

Post Image

Muimbaji wa muziki wa mduara anayewakilisha pande za Zanzibar, Ally Tall  ‘AT’ amefunguka na kusema katika maisha yake hawezi kumsahau mwanamuziki Ali Kiba kwani pasipo kukutana naye leo hii angekuwa ni mvua samaki kwao. Akiwa kwenye heshima ya bongo fleva ya Planet Bongo ndani ya East Africa Radio, AT amesema kwamba baada ya kuahidiwa kupatiwa msaada […]

Read More..

Meneja Amtetea Aslay kwa WCB

Post Image

Meneja wa Aslay, Chambuso amemtetea msanii wake huyo kuwa hajawahi kuwa na ukaribu na Alikiba. Hilo limekuja baada ya kusambaa maneno kuwa hitmaker huyo wa ‘Muhudumu’ ameingia kwenye mgogoro na WCB kutokana na ukaribu wake na Alikiba. Akiongea Ijumaa hii katika kipindi cha FNL, Chambuso amesema, Aslay hajawahi kuwa karibu na Kiba na wala hakuwa […]

Read More..

Mlela Anavyozidi Kuingiza Mkwanja Nje ya Bo...

Post Image

BAADA ya mwaka jana kula shavu la ku­cheza tamthiliya nchini Kenya kwa mwaka mmoja ambalo limeisha mwezi huu, staa wa fil­amu Bongo, Yusuf Mlela amejikuta akichekelea baada ya kupata kazi ny­ingine tena. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Mlela alisema ana furaha kubwa kupata kazi nyingine inayokwenda kwa jina la Nyota ambayo ni ya miezi saba […]

Read More..

Waganga Watanimalizia Pesa – Dully

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes amefunguka na kusema kwamba wasanii au watu wanaokwenda kwa waganga wa kienyeji ili kufanikiwa wanaongozwa tu na tamaa na kutoridhika na kile wanakichopata. Dully amefunguka hayo alipokuwa kwenye  Planet Bongo ya East Africa radio ikiwa ni siku chache baada ya Meneja Maneno kufunguka na kudai […]

Read More..

Video : Q Chief Amtabiria Mazito Chid Benz

Post Image

Msanii Q Chief amefunguka kwa kudai ameamua kumrudisha tena mkali wa ‘free style’ Chid Benz katika ulimwengu wa muziki. Q Chief amebainisha hayo baada ya kusambaa picha mtandaoni zilizokuwa zinawaonyesha wawili hao wakiwa studio ambapo watu wengi walianza kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu ndani yake. “Chid Benz ni moja kati ya ma-rapa ambao wanahistoria kubwa […]

Read More..

Jina Lamtesa Aunty Ezekiel

Post Image

STAA wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel, ameweka wazi kwamba kipindi cha mfungo wa Ramadhan kinapofika kila mwaka hujikuta akiona aibu kula hadharani, kutokana na jina lake la Rahma alilolitumia kipindi alipobadili dini. Aunty aliwahi kubadili dini wakati alipoolewa na Sunday Demonte, anayetumikia kifungo cha miaka kumi jela huko Abu Dhabi. “Mimi ni Mkristo, ila […]

Read More..

Afande Sele Atoa Neno kwa Wavuta Sigara na ...

Post Image

Msanii Afande Sele amefunguka na kusema kama Taifa tunakila sababu ya kuendelea kuwaombea watu wanaovuta sigara na walevi wa pombe kwa kuwa kila mwaka ndiyo watu ambao wanaibuka vinara kwenye kuchangia kulijenga taifa kwa mapato. Afande Sele amesema hayo baada ya jana Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kuwasilisha bungeni mapendekezo ya makadirio […]

Read More..

Zari Kuishi Kwenye Nyumba ya Ivan Au Diamon...

Post Image

KAMATI ya watu wanne walioteuliwa kushughulikia namna ambavyo mali za marehemu Ivan Ssemwanga zitasimamiwa, imempa mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari Hassan, moja ya nyumba za marehemu huyo iliyopo nchini Afrika Kusini ili aishi na watoto wake. Kwa mjibu wa mtandao wa Kenya moja, kamati hiyo iliwajumuisha Ritah Ssemwanga (dada wa Ivan), […]

Read More..

Mapenzi Kando, Nafanya Kazi – Jacquel...

Post Image

Diva wa Bongo Movie Jacqueline Wolper amesema kuwa haoni haja ya kuwa na mahusiano kwa wakati huu, japo kuwa wanaume wengi wenye pesa wamekuwa wakimsumbua kumtaka kimapenzi, na kwamba anaamini ni wasumbufu tu na hawana mapenzi ya kweli. Wolper  amefunguka hayo karibuni na kusema kwama  kutokana na upendo wa kweli anaojitahidi kumuonyesha mwanaume anapokuwanaye kwenye […]

Read More..

Mama Diamond Afungukia Diamond Kuhusishwa n...

Post Image

Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka. Kupitia kwenye U-heard ya XXL ya Clouds FM leo June 9, 2017 mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na […]

Read More..