-->

Monthly Archives: December 2016

Raymond Amshukuru Diamond Alichomfanyia Kwe...

Post Image

Raymond ameendelea kumshukuru bosi wake wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz kwa kile anachomsaidia kupitia muziki wake. Hitmaker huyo wa Natafuta Kiki, amefunguka kwa kuweka wazi kuwa nguo alizovaa kwenye video ya ‘Kwetu’ na ‘Mugacherere’ zilikuwa za bosi wake huyo. Kupitia mtandao wa Instagram, Ray Vanny ameandika: Kwenye Video ya #KWETU Nguo zote Ulinipa wewe!!! […]

Read More..

Crazy GK Sina Mpango Na Diva… Ni Mpenzi W...

Post Image

UNAIKUMBUKA East Coast Team chini ya kiongozi wao Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy GK? Enzi za Ama Zangu, Ama Zao utawataka? Kule alisimama Mwana FA, pale AY, usiwasahau O Ten, Snare, Buff G na wengine kibao kutoka maskani yao  Upanga Mashariki. Kundi hili ambalo lilitesa zaidi miaka ya 2000 wakichuana vikali na Kundi la TMK […]

Read More..

Mshiriki wa Bongo Star Search Aeleza Sababu...

Post Image

Hadi sasa watu wanajiuliza nini kimetokea kwa Kayumba – mshindi wa Bongo Star Search mwaka jana. Mbona kijana huyo alionesha uwezo mkubwa wakati wa shindano hilo kiasi ambacho walimtabiria angekuja kuwa kuwa Diamond wa pili? Babutale, Madam Rita na Kayumba Alitoa wimbo ambao video yake ilifanyika nchini Afrika Kusini lakini haukuweza kufanya vizuri. Na sasa […]

Read More..

Salama Apata Shavu Kuwa ‘HOST EATV AW...

Post Image

Mtangazaji maarufu wa runinga ambaye ni rafiki na kipenzi cha wengi Salama Jabir ataandika historia sambamba na kampuni EATV LTD baada ya kupata nafasi ya kipekee ya kuwa ‘HOST’ wa tuzo za kwanza za EATV Sherehe hizo za utoaji wa tuzo ambazo ni kubwa zaidi Afrika Mashariki na zinafanyika kwa mara ya kwanza , zitatolewa […]

Read More..

Idris Aingilia Bifu la Diamond, Dimpoz, Kib...

Post Image

WAKATI gumzo la mvu­tano na kutupi­ana vijembe kwa wasanii watatu, Diamond Plat­numz, Ommy Dimpoz na Ali Kiba likiendelea, mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan naye ametoa neno kuhusiana na hicho kina­choendelea. Wasanii hao wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba‘King Kiba’ na Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz ’ wamekuwa  wakionekana kuwa karibu siku […]

Read More..

Jokate Afunguka Sababu za Ukimya Wake

Post Image

Msanii wa bongo fleva na mdau wa urembo nchini Tanzania Jokate Mwegelo ameelezea sababu ya kukaa muda mrefu bila kutoa nyimbo ikiwa tayari ana nyimbo zaidi ya tatu japo aliahidi  kurudi tena mwishoni mwa mwezi huu. Akiongea ndani ya eNewz Jokate amesema kuna mipango ambayo wanaiweka sawa hivyo mashabiki zake wasubiri kwani tayari ana nyimbo nyingi ambazo ameshazirekodi na […]

Read More..

Gigy Money Adai Alikiba Alikuwa Anamhonga V...

Post Image

Video queen Gigy Money amedai kati ya wanaume wake wote hawezi kumsahau Alikiba, kwani muimbaji huyo wa Aje ndiye mwanaume wake ambaye alikuwa anamhonda vizuri kuliko wanaume wake wengine. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy amedai aliweza kusoma kutokana na pesa ambazo alikuwa akihongwa na muimbaji huyo. “Mimi kuwa naye nilikuwa napata kitu sikuwa pale […]

Read More..

Shilole Akanusha Kumfahamu Msanii Huyu

Post Image

Msanii wa bongo fleva Shilole amesema hajawahi kuwa na msanii zaidi ya Gaucho katika kampuni yake ya Shilole Entertainmet na hamfahamu wala kumjua Mona Star. Akiongea kupitia eNewz Shilole amesema Gaucho ni mdogo wake na hajawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimapenzi zaidi ya mahusiano ya kikazi na swala la mapenzi haliwezi kutokea baina yao kwa […]

Read More..

Jimmy Master Aingia na Filamu ya Foundation...

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu za mapigano Bongo Jimmy Mponda ‘Jimmy Master’ ameamua kusambaza kazi yake ya Foundation kufuatia mikataba inayobana watayarishaji na wasanii kutoka kwa wasambazaji wengine hivyo msanii huyo mkongwe na mahiri katika sinema za mapigano anasimama mwenyewe kuingia sokoni. Filamu ya Foundation imengia jana sokoni na inapatikana nchini kote katika maduka ya […]

Read More..

Jaydee Kuweka Wazi Kuhusu Ndoa Yake

Post Image

KUFUATIA sintofahamu kwa mashabiki wake kuhusiana na tetesi za kufunga ndoa na kwenda mapumziko visiwani Zanzibar, mwanamuziki, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ anatarajia kuweka wazi suala hilo hivi karibuni. Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja wa mwanamuziki huyo, Seven Mosha, hakutaka kuzungumzia suala hilo, huku akisisitiza kwamba Lady Jaydee mwenyewe ataliweka wazi suala hilo hivi karibuni. “Habari […]

Read More..

‘Upcoming’ Wameharibu Soko la B...

Post Image

Mkongwe wa bongo movie Sandra amewachana wasanii wanaoingia katika tasinia ya bongo movie kwa malengo ya kupata umaarufu ili wapate njia za kufanya mambo yasiyofaa katika jamii kupitia umaarufu walioupata. Akiongea ndani ya eNewz Sandra amesema watu wanaopata skendo mbaya kupitia umaarufu walioupata ndani ya bongo movie wanasababisha kupoteza heshima za wasanii wanaojiheshimu lakini pia inaharibu tasnia […]

Read More..