-->

Monthly Archives: October 2016

Alikiba: Sipendi Kiki na Sitofanya Kamwe

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV. Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo,” alisema. “Lakini kuna baadhi pia […]

Read More..

Msanii Akiri Kuwahi Kwenda kwa Mganga

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Samaki’ Galatone amefunguka na kusema kuwa yeye aliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji kufanya makeke ili aone jambo ambalo linamsumbua. Galatone alisema hayo kupitia kipindi cha ‘NgazKwaNgaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV, msanii huyo anasema katika hali ya kawaida […]

Read More..

Sijakimbia Jiji Nimeokoa Kipaji Changu- Luc...

Post Image

LUCKEY LUCKAMO mwigizaji wa kiume kutoka Bongo Movie amefunguka kwa kusema kuwa aliamua kurudi kwao Tanga baada ya kubaini kuwa ukihamia Dar es Salaam kama mwigizaji mzuri unapoteza uhalisia kwa sababu kuna aina moja ya uigizaji hivyo ushindani unapotea ghafla baada ya kugundua hilo kwa sababu yeye ana malengo makubwa aliamua kurudi zake sehemu ambayo […]

Read More..

Mpenzi Mpya wa Wema Sepetu Afungukia Kwanin...

Post Image

Model Calisah ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na Wema Sepetu amekataa kuzungumzia mahusiano yake na Wema Sepetu pamoja na kueleza kwanini alisema hamjui aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan. Wiki moja iliyopita kupitia kipindi kimoja cha runinga, model huyo alisema hamjui Idris Sultan. Akiongea na Bongo5 Jumanne […]

Read More..

Leo ni Birthday ya Aunty Ezekiel, Wema ,Zar...

Post Image

Leo Oktoba 27 ndiyo tarehe aliyozaliwa staa wa Bongo Movies Aunty Ezekiel aka Mama Cookie. Mastaa mbalimbali wa Bongo kupitia akaunti zao za Instagram wamemtakia heri katika siku yake ya leo kwa jumbe mbalimbali; “Okay…. i think imetosha na mapicha picha na hapo bado ninazo nyingine kama Mia… Tusisahau kwenye simu ya Tiake pia zipo… […]

Read More..

Tigo Change Makers

Post Image

Kuna tatizo katika jamii yako ambalo umeanza kulitatua kwa kutumia TEHAMA? Unaweza kushinda dola 20,000/- za #TigoDigitalChangeMakers . Kwa maelezo zaidi bofya hii link: https://tigo.co.tz/sw/digitalchangemakers

Read More..

Wema Sepetu na Aunty Ezekiel Wapo Vizuri

Post Image

Tofauti na kile ambacho baadhi ya mashabiki wa mastaa hao kudhani kuwa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel hawaelewani kwa sasa, Wema Sepetu  ameonyesha wazi kuwa yeye na Aunt wapo vizuri baada ya kubandika picha  hiyo hapo juu ya Aunt Ezekiel akiwa na mtoto wake Cookie kwenye ukurasa wake wa instagram ma kuandika. “My Picture of the […]

Read More..

Mimi Siyo Marioo – Abubakari Mzuri

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abukakari Mzuri ambaye aliwahi kutamba na wimbo kama ‘Samahani’ amefunguka na kusema kuwa yeye siyo Marioo kama ambavyo watu wamekuwa wakisema kuwa analelewa na mwanamke au ameolewa na mwanamke. Ababukari Mzuri alisema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz cha EATV na kusema kuwa yeye hajaolewa wala halelewi na mwanamke […]

Read More..

Bifu: Filamu Aliyocheza Fid Q Ambayo Hataki...

Post Image

Kabla ya kupata tobo na kuwa mmoja wa wana hip hop wanaoheshimika zaidi Tanzania, Fid Q aliwahi kufanya mishe mishe mingi ikiwemo kuwa muigizaji wa ‘bongo movie.’ Yeye na Sugu waliigiza filamu ya maisha ya muziki iitwayo Bifu. Kutokana na kuwa na kiwango cha chini, Fid Q hataki uione filamu hiyo kwakuwa anahisi kwa alipofika […]

Read More..

Hizi Team Kiba, Diamond ni Sumu

Post Image

KAMA una simu inayoweza kufungua mitandao ya kijamii, basi ukizubaa utakuwa na bahati ya kushuhudia madudu tu na simu hiyo haitakuwa na faida kwako hata kidogo. Mitandaoni kuna mambo mengi sana yanaendelea na hayana maana hata kidogo ingawa wanayoyaendeleza huamini wana uwezo mkubwa wa kuzungumza mambo na wanachosema ni sahihi hasa. Kwenye Facebook, Instagram na […]

Read More..

Kingwendu Aomba ‘Promo’ Kama ya...

Post Image

Msanii wa vichekesho nchini Kingwendu amesema mambo ya siasa yalimsababisha kupunguza kazi zake za sanaa kwa kuwa alikuwa katika kujipigia kampeni za kugombea ubunge. Pia Kingwendu amesema kama angefanikiwa kupata ubunge angeweka mambo ya sanaa pembeni kidogo kwa kuwa siasa ina mambo mengi na inabidi ujipe muda wa kutosha ili kuweza kukamilisha majukumu yako vizuri. […]

Read More..

Nimejipanga kwa Ubunge Kigoma- Aunt Fifi

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Tumaini Bigilimana ‘Fifi’ amesema kwa sasa anajipanga kwa aajili ya kugombea Ubunge huko Kigoma ili aweze kuwasaidia wasanii wa filamu baada ya kilio chao cha muda mrefu kushindwa kutatuliwa kutoka na maharamia wa kazi zao hivyo anaamini kuwa endapo ataingia Bungeni kazi hyo itakuwa rahisi sana kutetea maslahi ya wasanii wa […]

Read More..

Mwanaume Lijali Hawezi Kuishi kwa Mwanamke ...

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri wa wimbo wake wa ‘Rarua’ Malaika amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanaume lijali na mwanaume aliyekamilika ambaye anaweza kuishi kwenye nyumba ya mwanamke. Malaika alisema hayo kupitia kipindi cha ujenzi kinachorushwa na EATV alipokuwa akionesha hatua iliyofikia nyumba yake hiyo na kudai kuwa haamini […]

Read More..

Bond: Watoto Wa Wastara Hawakupenda Aolewe

Post Image

SIKU chache baada ya kuripotiwa kupika na kupakua na staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman ameibuka na kusema watoto wa mke huyo wa zamani wa Mbunge wa Donge, Sadifa Juma, hawakupenda mama yao aolewe na mtu mwingine zaidi yake. Akipiga stori na Za Motomoto News, Bond alisema alipokuwa kwenye ndoa, watoto hao […]

Read More..

Bado Nipo Kwenye ‘Game’ – Soggy

Post Image

Mwana hip hop ambaye amewahi kuishika game ya bongo fleva miaka ya nyuma, Soggy Doggy Hunter, amesema hajaacha muziki, licha ya kutosikika akitoa kazi mpya kwa kipindi kirefu. Soggy amewatoa shaka wapenzi wa bongo fleva, alipokuwa akizungumza na EATV, ambapo amedai kuwa kila siku anaandika ngoma ngoma mpya na kwamba hadi sasa ana ngoma zaidi […]

Read More..

Tanzia: Pigo Tena Bongo Movie, Muigizaji Ha...

Post Image

Muigizaji wa tamsthilia hapa Bongo, Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki dunia jana Jumatatu jioni, Oktoba 24, katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Imearifiwa kuwa, siku chache kabla ya kifo chache, zilizopita alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo. Mazishi yanatarajia kufanyika leo […]

Read More..

Banana Zorro Afungukia Singeli

Post Image

Hakuna ubishi kuwa muziki wa Singeli umeteka vichwa vya mashabiki wengi kwa sasa nchini. Banana Zorro amefunguka juu ya matarajio ya kufanya muziki huo. Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa ana uwezo wa kufanya muziki huo lakini kwa sasa hajafikiria kuufanya. “Mimi nina uwezo wa kufanya kila muziki, lakini Singeli kwangu kwa sasa sijafikiria […]

Read More..

Nisha Adaiwa Kutapeli, Ang’aka!

Post Image

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kutapeli watu kwa dawa zake za kupunguza tumbo ambapo watu wamedai kuwa dawa hizo hazipunguzi chochote kama anavyozisifia. Kwa nyakati tofauti, watu wamemtolea Nisha malalamiko wakidai kuwa dawa anazozitangaza hazifanyi lolote bali anazitumia kuwachukulia watu fedha zao. “Kiukweli mimi nimetumia dawa zake wala sijaona zikifanya lolote. […]

Read More..