Kuishi na Majirani Vyema ni Funzo Kwangu ...
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Daudi Michael ‘Duma’, amefunguka na kusema kuwa kuishi na watu vizuri kumemfunza na kumfanya aone kuwa na umuhimu huo baada ya majirani na marafiki zake kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mtaani kwake Mwananyamala, Dar es Salaam. Akizungumza na eNewz mwishoni mwa juma lililopita, Duma, alisema amefurahishwa na kitendo cha marafiki na […]
Read More..






