Diamond Afungukia Misaada Aliyotoa kwa Jami...
Msanii Diamond Platinumz imembidi afunguke hayo mtandaoni baada ya kuguswa na comment shabiki mmoja aliyefungukia gharama za cheni ya Diamond . Shabibiki aliandika “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya,” alicomment shabiki huyo kwenye picha hiyo hapo chini. Naye Diamond alimjibu kwa kuandika, ““…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti […]
Read More..





