-->

Monthly Archives: October 2016

Barafu: Kutoka Sonara Mpaka Staa wa Filamu

Post Image

KAMA wewe ni mfuatiliaji wa filamu za kibongo, basi jina la Suleiman Abdallah ‘Barafu’ litakuwa si geni masikioni mwako. Barafu amewahi kuonekana kwenye filamu nyingi, kama vile Shoe Shine, Jamani Mwanangu , Daladala, House Boy, Sindano ya Moto, Pasuko la Moyo, Nesi, Selena, Babylon, Curse of Marriage, One Night,  Last Card,  The Long Story na DNA. Swaggaz imepata nafasi ya […]

Read More..

Diamond Afunguka Kuhusu ‘Salome’...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anavizuri na wimbo wake ‘Salome’ amefunguka na kusema kuwa wimbo huo uliwavuruga wasanii wengi wakubwa duniani kabla hajatoka hata baada ya kutoka. Diamond Ploatnumz alisema hayo kwenye Friday Night Live (FNL) na kudai kuwa wimbo huo yeye mwenyewe anashindwa kuelewa una nini kutokana na jinsi ambavyo […]

Read More..

Mashabiki Wanadhani Nimeacha Kuigiza – Sh...

Post Image

Malkia wa filamu Shamsa Ford amesema anapokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake wakimuuliza kama ni kweli ameacha kuigiza baada ya kuingia kwenye maisha ya ndoa. Mwigizaji huyo ambaye alifunga ndoa mwezi mmoja na nusu uliopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi, amesema ndoa haiwezi kumtenganisha na mashabiki wake wa filamu. “Kusema kweli […]

Read More..

Said Ally, Aliyetobolewa Macho Buguruni She...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa majibu kuhusu na hatma ya kijana Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli na kusema hatoweza kuona tena. Makonda ametoa majibu hayo ofisini kwake Ijumaa hii. “Majibu yametoka na Said ameturuhusu tuyaweke wazi majibu ni mabaya ila tumeyapokea itabidi tukubaliane na matokeo kwamba ndugu […]

Read More..

Diamond: Zari Ndiye Model Niliyewahi Kumlip...

Post Image

Mkali wa ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma-model wa video aliowahi kuwalipa fedha nyingi ni mpenzi wake Zari. Alimtaja Zari alipoulizwa kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM na mtangazaji Lil Ommy aliyetaka kumjua ni model gani aliyewahi kumtoboa mfuko wake zaidi. “Zari ndio mtu nilimlipa hela nyingi katika video […]

Read More..

Baraka The Prince Kuja na ‘Recording ...

Post Image

Msanii Baraka The Prince ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo kubwa ya muziki Afrika ya Rock Star, ametangaza ujio wa recording lebel yake, itakayosimamia kazi za wasanii wengine. Akizungumza kwenye kipindi cha 5SELEKT ya East Africa Television, Baraka aliulizwa kuhusu maana ya jina la BANA ambalo analitumia, ndipo akafunguka na kusema kuwa jina hilo […]

Read More..

Mr Nice Avamiwa na Majambazi Kenya, Aibiwa ...

Post Image

Mwanamuziki, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ hivi karibuni amedai alivamiwa na majambazi akiwa nchini Kenya na kuibiwa simu 2, laptop, pamoja na pesa taslimu kiasi cha tsh milioni 30. Muimbaji huyo kwa sasa yupo nchini Kenya kwa zaidi ya miezi 6 akifanya shughuli za muziki pamoja na show. Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii akiwa nchini Kenya, […]

Read More..

Naachia Ngoma ya Hip hop Mwaka Huu – ...

Post Image

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Records Bob Junior ametangaza rasmi kuwa mwaka huu anataka kuachia ngoma ya Hip hop kwa sababu yeye ni Rapa na anauwezo huo. Bob Junior alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz kinachorushwa na EATV na kudai kuwa mwaka huu ataachia kazi mbili, moja ikiwa ni ya kuimba na nyingine […]

Read More..

Shamsa Ford Aeleza Jinsi Ndoa Ilivyobadili ...

Post Image

Malkia wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kuzungumzia jinsi ndoa ilivyobadili maisha yake. Mwigizaji huyo miezi miwili iliyopita alifunga ndoa na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi. Akiongea na Bongo5 Alhamisi hii, Shamsa amesema ndoa imempatia amani ya moyo ambayo alikuwa anaitafuta kwa muda mrefu. “Namshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na kwa kila […]

Read More..

Mboto Afungukia Kuhusu Kutoka na Aunt Ezeki...

Post Image

KAMA kawa Mtu Kati ipo ‘live’ leo tena, ambapo baada wiki iliyopita kukuletea mwanadada mkongwe anayefanya vizuri kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ wiki hii inakusogezea mvunja mbavu mwenye jina kubwa katika ardhi ya JPM, Haji Salum ‘Mboto.’ Huyu ni mchekeshaji mkongwe kidogo aliyeanzia sanaa yake katika Kundi la Kaole Sanaa Group mwishoni […]

Read More..

Diamond Afungukia Msadai ya Bifu kati ya Ma...

Post Image

Habari za kuwepo kwa bifu kati ya Mama mzazi wa Nassib Abduli aka Diamond Platnumz na Zari ambayeni mpenzi wa msanii huyo na Mama wa mtoto wake wa kwanza zilichukua sura mpya. Mwezi uliopita baada ya Mama mzazi huyo kutopost picha ya Zari kwenye BirthDay yake na kuja kupost picha ya Wema Sepetu akimtakia Birth […]

Read More..

AY:Kurudi kwa ‘East Coast Team’...

Post Image

Msanii AY ambaye ni miongoni mwa wanaounda kundi la East Coast Team, amemtupia msanii mwenzake GK zigo la kurudisha kundi hilo. Akizungumza kwenye eNewz ya East Africa Televisio, AY amesema uwezekano wa kundi hilo kurudi upo lakini mwenye uamuzi wa mwisho ni King Crazy GK ambaye amemtaja kama Amiri Jeshi mkuu wa kundi hilo. “Kwanza […]

Read More..

Siri ya Moyo Itawazima Wakongwe-Man Fizo

Post Image

SALUM Saleh ‘Man Fizo’ mwigizaji na mtayarishaji wa filamu anatamba kwa kujinasifu kuwa toka aingie na kupenya katika soko la tasnia ya filamu Swahilihood kila siku anapanda alianza na filamu kubwa ya Nimekosea wapi? iliyosumbua wakongwe anasema sinema yake ya Siri ya Moyo atawazima wakongwe. “Siri ya Moyo ni kazi ambayo nimerekodi kwa zaidi ya miezi […]

Read More..

‘Siri ya Mtungi’ Imenifungulia Milango ...

Post Image

Msanii wa filamu Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi, amefunguka na kueleza jinsi tamthilia hiyo ilivyompatia mashavu ndani na nje ya nchi. Mwigizaji huyo ambaye hapo awali aliwahi kushiriki katika filamu ya ‘Money Desire’, ‘Its Too Lets’ na filamu nyingine nyingi, ameiambia Bongo5 kuwa tamthilia […]

Read More..

Goodluck Gozbert Afunguka Kuhusu Mahusiano ...

Post Image

Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa nchini, Goodluck Gozbert akanusha kuonekana akijivinjari na mwanamke yeyote kwa sasa na kusema muda ukifika wa yeye kuwa kwenye mahusiano basi atakuwa.   Akiongea na eNewz, Gozbert alijibu hayo baada ya kuulizwa kuhusiana na uvumi wa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amekuwa akionekana na mwanamke wakijiachia naye na kudaiwa […]

Read More..

Mtangazaji Paul James ‘PJ’ Arudi Clouds...

Post Image

Paul James ‘PJ’ amerejea tena Clouds FM akitokea EFM. Anakuwa mtangazaji wa pili wa EFM kuchukuliwa na Clouds katika kipindi cha mwezi mmoja, baada ya Kicheko. PJ aliyeondoka Clouds mwanzoni mwa mwaka huu akiwa na Gerald Hando, ametambulishwa rasmi Jumatano hii. Anamfuata mtangazaji mwingine aliyehama Clouds akaenda EFM na kisha kurejea tena kwenye kituo hicho, […]

Read More..

Mboto Amuombea Msamaha Tunda Man kwa Hili

Post Image

Mchekeshaji nguli wa bongo movie Mboto Haji amemuombea msamaha msanii wa bongo Fleva Tunda Man kwa kauli yake ya kudanganya mashabiki zake Kauli hiyo ilidai kuwa wapo kambini wakiandaa filamu itakayo kuja kwa jina la Mama Kijacho kama ilivyo wimbo wa mama kijacho ambapo video yake imemuonyesha Mboto na Riyama Ally. Baada ya Tunda Man […]

Read More..

Chura wa Snura Afunguliwa, Video Mpya Kuach...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemruhusu msanii wa muziki, Snura Anthony Mushi ‘Snura’ kuachia video yake mpya ya wimbo ‘Chura’ baada ya msanii huyo kufanya marekebisho ya video ya wimbo huo na kukubaliwa na wizara. Aidha, katika barua ya wizara imemtaka Snura kuomba radhi mbele ya waandishi wa habari ili video […]

Read More..