-->

Monthly Archives: February 2016

Mazuri Yangu Chukueni na Mabaya Acheni-Shil...

Post Image

Msanii wa bongo movie na  bongo fleva Shilole amefunguka na kuwataka wadada kuiga iana ya maisha anayoishi kwa kuchukua mambo mazuri anayoyafanya na yale mabaya wayaache wasiyaige. Shilole amesema hayo kupitia Account yake ya Instgram ambapo alikuwa akiwataka vijana wasikate tamaa na wala wasikubali kukatishwa tamaa na binadamu bali wanapswa kumtegemea Mungu na kusimamia kile […]

Read More..

Riyama Ally ‘Mkegani’ Awachana Maproduc...

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Tanzania Riyama Ally anayetambulika kwa sasa kama malkia wa uswazi au Mkegani amewalalamikia watayarishaji wa filamu nchini kuwa wanachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wasanii hapa nchini. Wasanii wamekuwa wakijadiliwa na kukosolewa sana katika uigizaji wao na kutobadilika kuendana na husika wanazocheza katika filamu. Leo nimepata fursa ya kuongea na […]

Read More..

Wema Sepetu Afunguka Kuhusu ‘Range’ Yak...

Post Image

Baada ya kuzagaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya magazeti kuwa ile ‘Range Rover Evogue’ ya staa wa filamu, Wema Sepetu aliyojizawadi katika siku yake ya kuzaliwa imekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa madai alikwepa kulipa kodi, Wema amesema gari yake ipo nyumbani kwake. Akizungumza na 255 katika kipindi […]

Read More..

ROMA Kuhalalisha Mahusiano Yake na Mama Iva...

Post Image

Msanii wa muziki Roma Mkatoliki ameamua kuhalalisha mahusiano yake na mama wa mtoto wake, akiwa sasa katika mchakato wa kuoa, mwishoni mwa wiki akikamilisha zoezi zima la send-off ya mpenzi wake huyo kuelekea harusi. Roma na Mama Ivan wamepata backup kubwa kutoka kwa msanii wa muziki Kala Jeremiah, ambaye alikuwa ndiye mpambe wa msanii huyo, […]

Read More..

Usharobaro Wamtokea Puani Stan Bakora

Post Image

Usharobaro umemtokea puani komediani wa Bongo, Stanley Yusuph ‘Stan Bakora’ baada ya kudondoka na kuumia mguu wa kulia wakati akifanya mazoezi ya kutumia Cyboard (Saibodi). Ishu nzima ilitokea wiki iliyopita katika moja ya duka la nguo lililopo Kinondoni, Dar baada ya kupiga mwereka wa kufa mtu na kujikuta akianguka kama mkungu wa ndizi kutoka juu […]

Read More..

Nilimpokea Sharomilionea kwa Mikono Miwili-...

Post Image

Msanii wa vichekesho Kitale alimaarufu kama Mkude Simba amefunguka na kusema kuwa yeye ndie aliyempokea aliyekuwa msanii wa vichekesho na msanii wa bongo fleva marehemu Sharo Milionea. Akipiga stori katika kipindi cha Mkasi Tv kinachorushwa kupitia ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Kitale amesema kuwa yeye ndiye alimpokea Sharo Milionea na kumtambulisha kwenye tasnia, Kitale […]

Read More..

Wapuuzwe Wanaodai Tasnia ya Filamu Imekufa ...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amewataka mashabiki wa filamu kuwapuuza watu wanaodai tasnia ya filamu imekufa baada Steven Kanumba kufariki. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii, Ray alisema huu ni wakati kwa wadau wa filamu pamoja na mashabiki kusupport wasanii waliopo kwa nunua kazi zao. “Mimi nataka mashabiki wa filamu wajue hii tasnia […]

Read More..

Ukimtaka Shilole Andaa Mil. 20

Post Image

Amepanda dau? Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa bila mtu kuwa na kiasi cha Sh. Milioni 20 mkononi, hawezi kucheza filamu yake kwa kuwa kwa sasa anaona kama ni kumpotezea muda. Akipiga na Ijumaa Wikienda, Shilole au Shishi Baby alifunguka kuwa soko la filamu Bongo, linashuka na pia wasanii wanatumia muda mwingi […]

Read More..

Waandishi wa ‘Script’wanatuangusha – JB

Post Image

Msanii nguli wa filamu za kitanzania Jacob Steven maarufu kama JB, amesema kushuka kwa thamani kwa filamu za sasa hivi ukitofautisha na zile za zamani, kunasababishwa na waandishi wa hadithi kutofanya vizuri, na upungufu wa waongozaji wazuri. B ameyasema hayo alipokuwa akiongea na East Africa Television, na kusema kwamba filamu yoyote inatengenezwa na hadithi nzuri […]

Read More..

Shilole Hakuwa Mke Mzuri Kwangu – Nuh...

Post Image

Nuh ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba wakati yupo kwenye mahusiano na Shilole alishindwa kuonesha undani wake, ambao amekuja kuujua baada ya kuachana na penzi kuisha. “Baada ya mapenzi kuisha mi nimekuwa adui yake, amehack acount yangu ya instagram najaribu kuwacheki wa kurudisha acount […]

Read More..

Filamu ya Kiboko Kabisa Yaifunika Filamu za...

Post Image

ILE filamu kubwa ya Kiboko kabisa kila kona ni Kiboko kabisa inakimbiza Sokoni kila ukikutana na mpenzi wa filamu anasema Kiboko kabisa kwa utafiti uliofanywa na FC unaonyesha kuwa filamu hiyo imezifunika sinema zote toka kuanza kwa mwaka huu sambamba na filamu ya Chungu cha Tatu iliyotoka kabla ya Kiboko Kabisa. Kijana mmoja muuzaji maarufu […]

Read More..

Naepuka Kutumika Bila Faida – Lulu

Post Image

Staa wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kama unamtaka kumshirikisha katika filamu yako, andaa milioni 15 kwani anaogopa kuendelea kutumika bila faida. Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumapili hii, Lulu alisema tayari alishatengeneza jina kwa miaka mingi na sasa anahitaji pesa. “Kufanya filamu kwa milioni 15 sio hela nyingi, watu […]

Read More..

Baada ya Jimmy Mafufu Kushindwana na Jason ...

Post Image

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Jimmy Mafufu amemwangukia msanii wa filamu Bongo Zubery Mohamed ‘Niva’ kwa kumshirikisha katika filamu ya Ishakua soo sinema ambayo ipo njia kutoka tarehe 15.February .2016 awali msanii huyo alikuwa na mpango wa kumshirikisha msanii mkubwa kutoka nchini Marekani Jason Statham katika filamu hiyo ambayo ni filamu ya kipekee kwa […]

Read More..

Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa...

Post Image

Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu. Flora Mvungi akiwa hospitali Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare picha katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusu ugeni huo. Kupitia instagram, H.Baba aliandika. Asante mungu kwa kila jambo #watoto nifaraja […]

Read More..

“Nampenda yeye” ndio ilinitoa k...

Post Image

Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake. Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly akiwa anashirikia pia kwa ukaribu na Chege, amesema kuwa alilazimika kununua fanicha za ndani kutokana na mauzo ya album hiyo, ambapo aliweza […]

Read More..

Mimba ya Kajala Yachoropoka

Post Image

Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia Risasi Jumamosi kuwa mwigizaji huyo aliugua malaria ambapo dawa alizokunywa zimemsababishia mimba hiyo ichoropoke. “Nahisi ni madawa ya malaria aliyokunywa, huwezi amini alijisikia vibaya baada ya kumeza, […]

Read More..

Vimbwanga Vya Nisha na na Mzee Majuto Ndani...

Post Image

Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Released date:  29 January 2016 Distributors: Step Entertainment Subscribe kwenye channel ya Bongo Movies TV kwenye Youtube ujionee video nyingi zaidi za Bongo Movies

Read More..

Nuh Afuta Tatoo ya Shilole Mkononi, Ajichor...

Post Image

Msanii wa muziki Nuh Mziwanda, hatimaye ameamua na yeye kufuta tatoo ya Shilole aliyokuwa ameichora mkononi, akienda tofauti na nadhiri aliyojiwekea ya kwenda kaburini na tatoo hiyo. Nuh amesema kuwa, ameamua kufanya hivyo alipogundua tabia halisi za Shilole baada ya kuachana naye, akidai kuwa ex wake huyo ameingilia ukurasa wake wa instagram (hacking), akimtukana katika […]

Read More..