-->

Monthly Archives: December 2016

Solo Thang Asikitishwa na Hali ya Chid Benz

Post Image

Msanii mkobgwe wa rap hapa bongo, Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu. Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na […]

Read More..

Pichaz:Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Kris...

Post Image

    GPL  

Read More..

Pichaz: Walichokifanya Wasafi Hiyo Jana, Ja...

Post Image

Mkali wa bongo bongo fleva  Diamond akiwa na wasinii kutoka kwenye lebel yake ya WCB walifanya show kubwa iliyojulikana kwa jina la vodacom Wasafi Beach party iliyofanyika jana, Jangwani Seabreez. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo  

Read More..

Aunty Ezekiel Azipondea Filamu Alizocheza Z...

Post Image

Mrembo aliyekuwa kimya kwa muda mrefu katika uga wa Bongo Movie mwanadada Aunty Ezekiel amerudi kwa kishindo na kazi mpya ambayo imemfanya aziponde kazi zake za zamani kutokana na ubora wake.   Aunty aliyekuwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV amesema movie ambayo amekuja nayo sasa ni ya viwango vya hali ya juu, na ina utofauti […]

Read More..

Nay wa Mitego Amzawadia Gari Mama Yake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ameamua kumnunulia mama yake mzazi gari katika siku yake ya kuzaliwa kama zawadi ili iwe inamsaidia mzazi wake huyo na mtoto wake wa kiume kwenda sokoni. Nay wa Mitego akiongea kwenye kipindi cha eNewz amedai mwezi uliopita ndiyo ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa […]

Read More..

Mambo 10 ya Kukumbukwa 2016

Post Image

ZIMEBAKI takribani siku saba kabla ya mwaka huu kufikia ukingoni na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Kwa hakika mwaka 2016 umekuwa wa matukio mbalimbali kwenye tasnia ya burudani Bongo. Kwa wiki tatu sasa mfululizo tumekuwa tukikuletea matukio tofautitofauti yaliyopata kutokea tangu kuanza kwa mwaka huu. Tayari tumeshaona mastaa waliofunga ndoa, ndoa zilizovunjika na mabifu yaliyotingisha. […]

Read More..

Muziki Umenipa Mafanikio Kuliko Filamu-Shil...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Shilole amefunguka na kusema kuwa mafanikio yake aliyopata kwenye muziki kama angeendelea kufanya filamu anaamini asingeweza kuyapata kabisa. Shilole anasema anashukuru Mungu aliweza kumshtua mapema ili akimbie kwenye filamu na kukimbilia kwenye muziki kwani huku kwenye muziki ndiko pesa zake zilikuwepo ambazo ndani ya muda mfupi amezipata na kufanya […]

Read More..

Harmonize Afunguka Haya Kuhusu Penzi Lake n...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amekanusha kuachana na mpenzi wake Jacqueline Wolper baada ya hivi karibuni kuzagaa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wameachana. Madai hayo yalichukua sura mpya wiki chache zilizopita baada ya malkia huyo wa filamu kudaiwa kufuta picha za mkali huo wa wimbo Bado katika mtandao wake wa instagram. […]

Read More..

Aunt Ezekiel Afunguka Sababu ya Kutamani Ku...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel amedai kuwa anatamani tena ajifungue mtoto wa kike kwa mara ya pili kwani watoto wa kike kuwa nao ni pesa. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live Aunt Ezekiel aliweka wazi kuwa watoto wa kike ni pesa ingawa hakutoa ufafanuzi ni pesa kwa namna gani lakini anasema anatamani ajifungue […]

Read More..

Meneja wa Diamond Afungukia collabo za Diam...

Post Image

Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond alitease ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna. Jumatano hii kupitia kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, meneja wake, Sallam alifafanua zaidi kuhusu hatua iliyofikiwa ya collabo hizo. Sallam alidai kuwa collabo na Rick Ross imeshakalimika, […]

Read More..

Mwanaume Ukiwa na Sifa Hizi, Utampata Mwasi...

Post Image

Mwanamuziki Mwasiti ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kaa nao’ amefunguka na kuweka hadharani sifa za mwanaume ambaye anahitaji kuwa naye katika maisha yake na kusema haiwezekani hata siku moja mtu na mpenzi wake wakawasiliana mara moja kwa siku. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Mwasiti amesema kuwa angependa mume wake kwanza […]

Read More..

Matukio Yaliyobamba 2016 Kwenye Burudani

Post Image

MWAKA huu umeonekana kuwa funzo kubwa kwa wasanii nchini baada ya waliokuwa wakitumia dawa za kulevya kuachana na utumwa huo na kurudi katika kazi zao za sanaa.   Waliojitangaza kuwa walikuwa watumwa wa dawa hizo na wameamua kupata matibabu ya kuachana nazo ni pamoja na Rehema Chalamila ‘Ray C’ ama kiuno bila mfupa kama wengi […]

Read More..

Ray C Kutikisa Tena Anga la Bongo

Post Image

Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game na tayari ameshafanya ngoma tano na zinatarajiwa kuachiwa hivi karibuni. eNewz imezungumza na msemaji wa Wanene Entertainment Gentriez ambapo kwa sasa ndiyo sehemu ambayo Ray C anatengenezea ngoma zake na amefunguka kuhusu […]

Read More..

Nay wa Mitego: Nitamsaidia Chid Benz Nikish...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva,Nay wa Mitego amefunguka kuwa yupo kwenye mipango ya kumsaidia rapper Chid Benz kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Nay amekiambia kipindi cha Dj Shows cha Radio One kuwa anajaribu kumsaidia Chid lakini akishindwa basi haitokuwa bahati yake. “Nadhani tuwaombee watu mabaya tuwaombee kwa mazuri arudi kwenye amani kama ilivyo kwa […]

Read More..

Shamsa Ford Kuzaa ‘Kijiji’

Post Image

WAKATI watu wa kada mbali-mbali wakielezea uwepo wa hali ngumu ya kiuchumi nchini, Muigizaji Shamsa Ford ambaye miezi michache iliyopita aliolewa, amesema anataka kuzaa watoto wengi (kijiji) wapatao saba, tena kwa haraka haraka. Akizoza na mwanahabari wetu, Shamsa alisema hivi sasa yupo katika harakati za kuusaka ujauzito kwa hali na mali, kwani licha ya mambo […]

Read More..

Q Chief Atoa Siri ya Wasanii Kutoacha ̵...

Post Image

Msanii Q Chief amefunguka na kusema kuwa baadhi ya wasanii kushindwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya ni kutokana na wao wenyewe kutokubaliana na hali hiyo kutokana moyoni mwao. Q Chief pia ametoa lawama kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijifanya kuwasaidia wasanii hao kuachana na madawa wakiwa na lengo la kutaka kunufaika nao […]

Read More..

Nisifieni Kabla Sijafa – Said Fella

Post Image

Meneja wa wasanii na kiongozi wa ‘Mkubwa na Wanawe’, ambaye pia ni diwani wa kata ya Kilungule Said Fella au Mkubwa Fella, amewataka watu kutambua mchango wake kabla hajafa badala ya kuponda jitihada zake Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Said Fella amesema watu wamekuwa wanaongoza kumsema vibaya badala ya kumsifia na kumpongeza, kwani kazi […]

Read More..

Msambwanda Wangu wa Kinyakyusa Nimezaliwa N...

Post Image

Staa wa bongo fleva Witness aka Kibonge mwepesi  amewajia juu mashabiki wanaomsema vibaya kutokana na umbile lake, na kusema wanachukia kuona wanapendana na mpenzi wake Ochu Shegy licha ya ubonge alionao.   Kwenye ukurasa wake wa Instagram Witness ameandika waraka akiwaambia watu hao kuwa hajali wasemayo, kwani umbile lake hilo amezaliwa nalo na sio la […]

Read More..