Kwa Mara ya Kwanza Bongo Movie Kuonyeshwa K...
Filamu ya Nimekosea wapi? Itakuwa ni filamu ya kwanza kufungua njia kuonyeshwa katika jumba la sinema la Suncrest Cineplex Cinema lilopo Quality Centre jumatano hii. Ni muendelezo wa Bongo Movie Premiere, ambapo mastaa na mashabiki wa filamu wanapata fursa ya kuitazma filamu kabla ya kuingia sokoni. Akiongea na FC muandaaji wa filamu hiyo ya Nimekosea […]
Read More..





