-->

Monthly Archives: December 2016

Jide Akiri Kutoka Kimapenzi na Mnigeria Spi...

Post Image

HATIMAYE staa wa muda wote katika muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide leo amekiri bila kupepesa maneno kuwa yupo katika penzi zito na mwanamuziki mwenzake raia wa Nigeria aitwaye Chris maarufu kama Spicy a.k.a Rasta. Jide ameyafunguka hayo wakati akifanya Exclusive Interview na Global TV Online kwenye studio zake zilizopo ndani ya […]

Read More..

Gabo Ajifananisha na Trump

Post Image

Muingizaji wa Bongo Movie Gabo ambaye alishinda tuzo mbili usiku wa EATV AWARD ikiwemo tuzo ya muingizaji bora wa kiume na filamu bora ya mwaka amesema anajiona kama Donald Trump baada ya kushinda tuzo hizo.   Akipiga story ndani ya eNewz, Gabo amesema anaamini kwa sasa ni wakati wake na matumizi sahihi ya akili ndo yanaweza kukupeleka popote unapotaka […]

Read More..

Alikiba Sina Tatizo na Dully Sykes

Post Image

Mkali wa wimbo Aje Alikiba baada ya kuondoka na tuzo tatu za EATV, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na msanii mkongwe wa muziki na producer, Dully Sykes. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuenea kwa taarifa za muda mrefu katika mitandao ya kijamii kwamba wawili hao hawaelewani. Katika usiku wa tuzo za EATV, Dully ndiye aliyemtangaza […]

Read More..

Baraka The Prince Amsajili Lord Eyes

Post Image

Msanii Baraka The Prince ametangaza rasmi kuanzisha label yake na kutaja wasanii wakubwa wawili ambao wapo chini ya label yake hiyo. Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Baraka The Prince amesema kuwa rasmi rapa Lord Eyes amesaini chini ya label yake inayofahamika kama ‘BANA’  na kusema ameamua kumchukua Lord Eyes kutokana […]

Read More..

Kajala Afunguka Haya Kuhusu Yeye na Petit M...

Post Image

Hapo zamani za kale, Kajala Masanja na Petit Man walikuwa wapenzi. Infact, wakati Kajala yupo jela, Petit alikuwa kama malaika wake aliyetumwa na Mungu kwakuwa alimhudumia kwa kiasi kikubwa. Lakini baadaye kila mmoja aliendelea na maisha yake ikiwemo Petit kumuoa dada yake Diamond, Esma. Lakini siku za hivi karibuni, wawili hao wameonekana kuwa karibu tena […]

Read More..

Duma Awapongeza Gabo na Chuchu Hansy kwa Ku...

Post Image

Muigizaji wa filamu wa kiume Daudi Michael au Duma amempongeza muigizaji mwenzake Gabo Zigamba ambaye alikuwa naye kwenye kinyang’anyiro kimoja, na kuibuka na ushindi wa muigizaji bora wa kiume EATV AWARDS, huku akijipanga kupambana zaidi. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Duma ameyaandika haya kuhusu ushindi wa Gabo Zigamba. Pia Duma alitumia fursa hiyo kumpongeza muigizaji […]

Read More..

Ndoa 14 za Mastaa Bongo Mwaka Huu

Post Image

2016 mwaka wa ndoa. Ndivyo ninavyoweza kusema kutokana kuwa mwaka huu wa baraka tele miongoni mwa wasanii wengi nchini kufunga ndoa tufauti na miaka mingine iliyopita. Naweza kusema kuwa wasanii wengi walikuwa wanawoga wa kuingina kwenye ndoa na hata wengi kutunga nyingi kwamba suala hilo bado kama ‘Bado nipo kwanza’ wa Mwana Fa na ‘Nakula […]

Read More..

Afande Sele: Darassa Kawafunga Mdomo Walios...

Post Image

Afande Sele katupa jiwe gizani ama kalitupa kwa hasimu wake Madee? Vyovyote vile, Mfalme huyo wa Rhymes amempongeza rapper Darassa kwa kumuelezea kama mtu aliyekuja kuwafunga mdomo watu waliowahi kudai kuwa hip hop imekuja – au kama ambavyo Madee aliwahi kusema ‘hip hop haiuzi.’ Kauli yake inakaribisha mjadala mwingine mrefu na ambao ni ngumu kupata […]

Read More..

Q Chilla:Starehe, Madawa ya Kulevya Yamenip...

Post Image

KIRAKA wa muziki wa Bongo Fleva  Abubakary Katwila ‘Q chief’ ambaye aliwika sana  mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kibao chake cha ‘Ulinizaa wewe’ ambacho kilivuta sana hisia za wababa wengi ambao wanatabia ya kukataa watoto wao. Wimbo huo ulikuwa kama wimbo wa Taifa awe mkubwa mtoto lazima auimbe ulifanikiwa kumbamba vituo mbalimbali vya […]

Read More..

Tunahitaji Ukombozi Kisanaa- Mwenyekiti wa...

Post Image

WENYEKITI wa Chama cha Wanawake wa Tasnia ya Filamu Tanzania (CWTF) Vanitha Omary amesema kuwa baada ya kuwa kwenye tasnia kwa muda mrefu wamekaa na kutafakari na kuamua kuanzisha chama kinachoshirikisha wasanii wa kike katika kuleta maendeleo na ukombozi kisanaa. “Sisi kama wasanii wa wanawake jamii inatutegemea katika mambo mengi hivyo lazima tuwe na umoja […]

Read More..

Orodha ya Washindi wa EATV AWARDS 2016

Post Image

Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za #EATVAwards kwa wasanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Tuzo hizo zilizoandaliwa na East Africa Television Ltd, zimekuwa za kwanza Afrika Mashariki, ambapo wasanii […]

Read More..

Sikutoa ‘Muziki’ Kumfunika Mtu – Darassa

Post Image

Nyota wa hip hop katika anga la bongo Fleva, Darassa amesema hakutoa ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Muziki’ kwa lengo la kufunika ngoma ya mtu mwingine bali ni kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa jamii na kuwaburudisha mashabiki wake. Darassa amefunguka hilo katika kipindi cha FNL cha EATV alipotakiwa kufafanua iwapo ni kweli kwamba alitoa […]

Read More..

Mungu Mwenyewe Atakuja Kuinusuru Tasnia ya ...

Post Image

Msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba amedai hakuna msanii wa filamu ambaye ataweza kuinusuru tasnia ya filamu kutokana na wasanii wa filamu kukosa umoja. Alisema hayo wiki hii wakati alipowatembelea wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Kampasi ya Mlimani) na kuzungumza nao mambo mbalimbali pamoja na kuwaeleza changamozo zinazoikabili tasnia ya […]

Read More..

Vanessa Mdee Kuigiza Tamthilia ya MTV Base

Post Image

BAADA ya kumaliza mwaka na wimbo wa ‘Cashmadame’, mkali wa muziki Afrika Mashariki, Vanessa Mdee, mwakani ataanza kuonekana kwenye tamthilia ya Shuga iliyochezwa nchini Afrika Kusini. Msimu wa tano wa tamthilia hiyo unaanza Machi mwakani ambapo Vanessa Mdee kutoka Tanzania atashirikiana na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali katika kunogesha msimu huo wa tamthilia hiyo. “Nafurahi […]

Read More..

Wamevujisha Wimbo Kuniharibia – Q Chief

Post Image

Mkali wa Rnb na Zouk Tanzania Q Chief amefunguka na kutoa malalamiko yake kwa baadhi ya watu ambao wamevujisha wimbo wake mpya kwa lengo la kumuharibia soko la muziki wake kuuza katika njia za mitandao. Q Chief muda mrefu alisema ameshafanya kazi na msanii kutoka nchini Nigeria Patoranking na kuanza promo kama maandalizi ya kutoa […]

Read More..

Bwana Misosi Amwimbia Rais Magufuli

Post Image

BAADA ya kimya cha muda mrefu katika muziki, msanii Joseph Lushalu ‘Bwana Misosi’, ameamua kurudi kwa nguvu na wimbo wa kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Wimbo huo unaoitwa ‘Makofi kwa Magufuli’, umeimbwa chini ya ushirikiano kati yake na msanii Nuruel. “Nimekuja na ujio mpya wa funga mwaka kwa […]

Read More..

Darasa: Kilichotokea Kwa Dereva ni Mzuka Il...

Post Image

KUFUATIA madai kwamba dereva aliyeacha usukani na kukucheza wimbo wa ‘Muziki’ ulioimbwa na msanii Sharif Ramadhani ‘Darasa’ akishirikiana na Bernard Paul ‘Ben Pol’ huku gari likiwa katika mwendo kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kuhatarisha maisha ya wasafiri na watumiaji wengine wa barabara, msanii wa wimbo huo ametahadharisha mashabiki wake. “Kilichotokea kwa dereva aliyeacha usukani […]

Read More..

Nay wa Mitego: Biashara ya Mimi na Mr T Tou...

Post Image

Nay wa Mitego anaweza akawa anamiss midundo ya producer wake wa zamani, Mr T Touch lakini hana mpango wa kufanya naye tena kazi. Tangu waache kufanya kazi pamoja, rapper huyo amekuwa kimya kiasi na huenda akawa bado hajapata producer mwingine wa kuziba pengo lake. Akizungumza na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Nay amesema kuwa biashara […]

Read More..