Adui wa Wema Sepetu ni Yeye Mwenyewe
WEMA Sepetu na mama yake wameamua kuhama CCM na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hii ni haki yao ya kikatiba. Ila ajabu katika uhamaji huu ni kauli na matamshi yao. Mama yake Wema pamoja na mambo mengine ameonekana kuumizwa na kitendo cha mwanaye kukamatwa na kuwekwa rumande kwa tuhuma za kutumia mihadarati. Katika […]
Read More..





